App nzuri ya kudownload nyimbo ni ipi,

tiku

JF-Expert Member
Oct 31, 2015
441
257
Naomba mnisaidie app nzuri ya kudownlod nyimbo za video isiwe tubemate hiyo siitaki.
 
NI VIDMATE MKUU. YAANI HD HADI KUTOKA YOU TUBE MAMBO MUURUUUA KABISA.
 
Mbona vid mate zinakuja nyinginyingi na zina nembo tofauti naombeni nembo ya vidimate original
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom