AliExpress, Alibaba or eBay etc.

PrinceDX

Member
Jul 15, 2018
42
25
Help plz!! Mfano umeshanunua product online mfano simu or laptop ikasafirishwa inafikia Dar?, Then wana office zao (mawakala) or unapokea mtu uliyeagiza? Or inafika hadi mkoa ulioandikia address? Mfano Dodoma urban. Na hyo free shipping inaishia wapi?
 
ngoja niwasaidie wadogo zangu hzo ecommerce zinautaratibu mzur sana baas tu ushamba wetu na kutokujua anyway kwanza fungua account kwny hzo ecommerce utajaza information zako na kila kitu ukimaliza unatakiwa kuwa na seheme ya malipo utajaza information zako kama ni kwa credit card au paypal ukimaliza unatakiwa kuwa ba shippng address yako sasa hapo wengi tunatumia postal address kidogo n nafuu mzgo utauchukua posta pale na kulingana na mzgo husika utalipia kodi au unaweza usikipie,,,,ingawa pia kuna shippng company nyngne kama dhl wanaweza wakakufikishia mpaka ulipo ila gharama zake zko juu sana
 
Kwa hiyo mkuu, kila ukitaka kununua kwenye hizo ecommence lazima u-log in? mfan bang good, Aliexpress etc!
 
free shipping , hua inafikia kwa PO BOX, na ndo iko ivyo!

na inachukua masiku mengii kufika, yaani ukiagizia inabidi usahau kabisa!

posta ni wezi kinoma, kua tayari kwa ilo, mzigo unafikia posta kuu dar kwanza (kuna wizi uliokithiri) then ndio wana dispatch kwa posta ndogo ndogo(hapa ndo kuna ule wizi wa rejareja)
 
mm sijawahi kuibiwa mzee
 
yap pia omba na tracking no. kwa seller utaweza kutrack mzgo wako kuna app inaitwa 17tracking unaona kabisa mzgo huko wap kwa muda upo shippng

IMG_5106.JPG
 
Mzigo utafikia posta kama ulivyojaza adress yako....achana na free shipping,tumia standard shipping ni hela kidogo sana...mzgo unafka fasta...mzgo wangu wa juu huo una siku 10 tu ushatua bongo kwa standard shipping
Screenshot_20180913-094817.jpeg
 
Mzigo utafikia posta kama ulivyojaza adress yako....achana na free shipping,tumia standard shipping ni hela kidogo sana...mzgo unafka fasta...mzgo wangu wa juu huo una siku 10 tu ushatua bongo kwa standard shippingView attachment 864806
Nakuona nakuonaaaa mkuuuuu unatema madini kama GGM.
Hahaaaaaaa wape darasa vijana.
 
Help plz!! Mfano umeshanunua product online mfano simu or laptop ikasafirishwa inafikia Dar?, Then wana office zao (mawakala) or unapokea mtu uliyeagiza? Or inafika hadi mkoa ulioandikia address? Mfano Dodoma urban. Na hyo free shipping inaishia wapi?

Ndio wana wakala hapa Tanzania na wakala wao mkuu ni Mwl.RCT mtumie huyu jamaa mzigo wako utakuwa salama na utakufikia popote ulipo.

Ahsante sana.
 
laptop ikasafirishwa inafikia Dar?,
Inafikia kwenye anwani yako uliyoweka.
Iwapo umeweka anwani ya Geita, Basi mzigo utasafiri na kukufikia hapo geita
Then wana office zao (mawakala)
Hakuna ofisi - Mffumo wa ufanyaji kazi hauhitaji uwepo wa ofisi.
or unapokea mtu uliyeagiza?
Sahihi, wewe uliye agiza, ndiye utakayepokea mzigo wako kupitia anwani uliyompatia muuzaji.
Or inafika hadi mkoa ulioandikia address?
Sahihi kabisa
Mfano Dodoma urban.
Ndio
Na hyo free shipping inaishia wapi?
Mahala ulipo, Kwenye anwani yako ndipo unafikia mzigo.

Kuhusu free shipping iko hivi
- Bei ya bidhaa yaweza kuwa ni dola 5
- Ghalama ya kusafirisha ni Dola 3 { 5 + 3 = 8}

Kwa lugha ya kibiashara tangazo litakuwa hivi, Nunua bidhaa hii kwa Dola 8 ili upate FREE SHIPPING, Nadhani hapa nimeeleweka.

Unapo nunua bidhaa zingatia ubora wa bidhaa zaidi na sio kuangalia bidhaa walizo andika FREE SHIPPING
 
Inafikia kwenye anwani yako uliyoweka.
Iwapo umeweka anwani ya Geita, Basi mzigo utasafiri na kukufikia hapo geita

Hakuna ofisi - Mffumo wa ufanyaji kazi hauhitaji uwepo wa ofisi.

Sahihi, wewe uliye agiza, ndiye utakayepokea mzigo wako kupitia anwani uliyompatia muuzaji.

Sahihi kabisa

Ndio

Mahala ulipo, Kwenye anwani yako ndipo unafikia mzigo.

Kuhusu free shipping iko hivi
- Bei ya bidhaa yaweza kuwa ni dola 5
- Ghalama ya kusafirisha ni Dola 3 { 5 + 3 = 8}

Kwa lugha ya kibiashara tangazo litakuwa hivi, Nunua bidhaa hii kwa Dola 8 ili upate FREE SHIPPING, Nadhani hapa nimeeleweka.

Unapo nunua bidhaa zingatia ubora wa bidhaa zaidi na sio kuangalia bidhaa walizo andika FREE SHIPPING
Mkuu upo dar?
 
Nna account ya CRDB nmeshailink na online purchase Ila nashndwa kufungua na kuvelify account ya PayPal
 
Back
Top Bottom