Namna ya kufungua simu ya Tecno N8.

Namna ya kufungua simu ya Tecno N8.

ebidada

Member
Joined
Apr 15, 2014
Posts
69
Reaction score
81
Kwa wale wote ambao wanatumia simu za Tecno S1 ambazo zimefungwa na mtandao mmoja wa tigo, Line one imefungwa kwa ajili ya kutumia tigo tuu na line 2 unaweza kuweka laini yoyote ile, ila ili uweze kupata mtandao wa 3G/4G ni lazima kwa Tigo tuu. Nimeambatanisha file ambalo ukilitumia simu yako itakuwa inaweza kufanya kazi mitandao yote. bonyeza hii link hapa chini na kisha upakue file...usisahau kusema ahsante bada ya kufanikiwa.
Teco S1 unlocked firmware-100% working fine-ebidii cataux computers - Télécharger - 4shared - Abdillah Irumba
 
kiponyezeo cha cha kuedit heading ya thread ingependeza zaidi. samahani sana kicha cha thread kinatakiwa kuwa hivi, Namna ya kufungua simu ya Tecno S1.
 
Sasa unapotoa kitu for free why uweke password?
 
protection ni muhimu. still n free koz ckatai kutoa password.
oky naomba password zake ili tuthibitishe maana nina unlocked firmware lkn chenga nyingi sana .. sijafanikiwa
 
Back
Top Bottom