Google map for Android App inahitajika

HaMachiach

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
3,399
6,077
Habari wakuu ni nahitaji Mtaalam anaye weza kuweka Google map kwenye application ya android studio iweze kuonyesha location na mda kama ilivyo ya uber naomba na bei pia ili aifanye kazi hiyo asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom