burma tv

burma tv

Kabelwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
684
Reaction score
201
wadau kwa wale ambao tunatumia burma tv kwa ajili ya kuangalia mechi za mpira kwangu kuanzia juzi naona inashindwa kufungua sijui kwenu wadau.
 
iko poa kwahii version mpya ya burma 9.0 au ile ya zamani 7.0 maana hapo hii mpya ndiyo inayogoma 9.0
 
Back
Top Bottom