Je, Kuna Mtu Aliyewahi Kutumia Hii Kitu.

ymollel

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
2,811
2,000
Hii kitu siyo linux based bali ni windows based OS. Kama kuna mtu aliyewahi kuitumia naomba atujuze utamu wake.
ReactOS 0.4.11 released | ReactOS Project

Sijawahi kuitumia ila nimeipitia kwenye mitandao, hakuna jipya hapo wala haijafikia hata windows 2000, bado sio stable na ni kama old version ya windows (like windows NT). Ni open source na itaRun .EXE applications kama ilivyo windows pia itasupport drivers kama za windows. Bado haijasupport 64BIT processors na pia itasumbua drivers kwa computer za kisasa.

SuperImpressor

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
1,416
1,500
Sijawahi kuitumia ila nimeipitia kwenye mitandao, hakuna jipya hapo wala haijafikia hata windows 2000, bado sio stable na ni kama old version ya windows (like windows NT). Ni open source na itaRun .EXE applications kama ilivyo windows pia itasupport drivers kama za windows. Bado haijasupport 64BIT processors na pia itasumbua drivers kwa computer za kisasa.

Yaah, nilivyoona no reply ilibidi niidownlod usiku saa tano hivi nikafanya bootable usb flash installation lakini nikishaboot with usb flash drive ili ifanye installation inaload files na ikishamaliza inabaki blank kwa muda mrefu hivyo nikajua hiyo bado sana. Acha nikomae na Linux mint na Windows 10.
Linuxmint for on ze Go na Windows 10 for our maujanja programs that's not safe while you are on the Go.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom