Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Ndugu wanajamii Naomba kueleweshwa namna ya kuweka link kwa mfano utakuta mtu amekuandikia email, halafu anakueleza kuwa bofya HAPA, Ukibofya unapelekwa moja kwa moja kwenye eneo hilo, mashikoro...
3 Reactions
114 Replies
57K Views
Halotel internet speed
0 Reactions
10 Replies
1K Views
habari zenu wanajukwaa.. Hivi karibuni niliflash custom rom kwenye simu yangu ya tecno w4 lakin baada ya kufanya hivo limejitokeza tatizo la hii simu kutokuwa na speed nzuri ya internet yaani...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari za mchana wapendwa, Laptop ni mojawapo ya vifaa ambavyo vinarahisisha kazi zetu za kila siku. Na sio kila mtu anaweza kuafford laptop mpya. jambo hii hulazimisha baadhi ya wadau kutafuta...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari zenu,naomba mnisaidie apps nzuri ya kupata namba ya nje zamani nilikuwa natumia namba niliipata primo nikaibiwa simu lakini nikijaribu kuidownload tena primo haionekani.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naombeni msaada wana JF coz file zangu pamoja na documents zote kwenye loptop yangu zimekua converted to VLC na hata ukiforce kwenda word or PDF hazifunguki..please Naombeni msaada.
0 Reactions
27 Replies
3K Views
When you stay in a hotel, how do you know there is no room secret pinhole camera? When you travel to an unfamiliar destination or take a business trip, you stay at a hotel, but you do not know...
22 Reactions
29 Replies
4K Views
Wadau namiliki Samsung mini table 3 mwaka wa tatu sasa. Juzi baada ya kuchomeka chaji ikajizima ila iliendelea kuchaji. Toka siku hiyo imebadili namna ya kuchaji nikitaka kuchaji lazima ijizime...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Naomba msaada kwa anayefahamu simu yangu aina ya Alcatel One Touch ina tatizo moja, ukiweka data on inafanya kazi ila ukiset 3G, network inakata kabisa.. naombeni msaada kwa anayefahamu namna ya...
0 Reactions
1 Replies
707 Views
Guys nilifanya factory reset ya cm yang camon cx lakini baada ya apo instagram, YouTube na watsap zmeacha kutoa saut japokuwa ukiweka earphone saut inasikika na calls za kawaida pia saut inasikia...
0 Reactions
2 Replies
994 Views
Msaada wenu jamani, nina laptop yangu inagoma window ikifika nusu karibu na mwisho, nimepiga window 7 na window 8 zote zikifika nusu zinakataa, laptop yangu ni lenovo, ram Ģb 2, na HDD ni GB 500...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari Wana Jukwaa!? Natafuta display ya laptop aina ya Dell latitude D620.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Jana nimenunua line ya TTCL, Hata hivyo kila nikiweka kwenye simu inaondoa function ya hotspot halafu naikuta kwenye mobile data ila haifanyi kazi naambiwa “To enable personal hotspot on this...
0 Reactions
0 Replies
714 Views
habari zenu wakuu; nilikuwa najisajili na huduma ya kupurchase online kwenye crdbbank.com baada ya nunitumia taarifa kuwa card yangu imewezeshwa kwenye kujisajili nikakuta sehemu ya kujaza...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wakuu jana nilinunua king'amuzi cha TING, nimejaribu kuki-set lakini napata vizuri station moja tu: ATN, nyingine mbili tatu za nje ziko kwenye mnato tu. Kama kuna mwana JF anayetumia king'amuzi...
0 Reactions
20 Replies
11K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naona simu ina storage kubwa kuliko bei elekezi
0 Reactions
0 Replies
771 Views
Wakuu naombeni msaada wenu, simu yangu aina ya xiaomi Mi A2 lite kila nikijaribu kudownload app kutoka playstore au nikijaribu kuupdate app inaniambia kuwa download is pending. Hata hivyo simu...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Hello, Naomba mnisaidie namna ya kucontrol data usage, yamenifika hapa. Kama siku tano hivi nilijiunga kifurushi chenye GB 1.5 jana zikawa zimeisha, nikashangaa sana nikasema anyway labda kuna...
3 Reactions
18 Replies
5K Views
WanaJF, Hivi hapa kwetu Tanzania kuna Air conditioner (AC) zenye kutoa upepo wa moto badala ya baridi! Huku niliko baridi imeanza kupiga! Msaada tafadhali
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Back
Top Bottom