EJM_
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 3,836
- 2,119
Jana nimenunua line ya TTCL, Hata hivyo kila nikiweka kwenye simu inaondoa function ya hotspot halafu naikuta kwenye mobile data ila haifanyi kazi naambiwa “To enable personal hotspot on this account contact carrier” kuna namna yoyote ya kushughulika na hili?