Msaada: Simu yangu haipandishi network Signal

PlayBoyMwema

JF-Expert Member
Jul 27, 2014
1,714
1,829
habari zenu wanajukwaa..

Hivi karibuni niliflash custom rom kwenye simu yangu ya tecno w4 lakin baada ya kufanya hivo
limejitokeza tatizo la hii simu kutokuwa na speed nzuri ya internet yaani pale kwenye network
signal hapajai panakua na bar moja tu..kama kuna mtaalamu anaweza kunipa solution ya hili
tatizo nitashukuru sana
 
Rudi tu stock rom,tecno haijawahi kuwa na stable custom rom..hizi mambo kama unazitaka kweli tafuta brand kubwa utaenjoy wakina cyanogen na wengine wengi.
 
dah najaribu kurudi stock rom kwa spflashtool lakin pc haitak kudetect simu..hivi siwez kuflash stock rom kwa kutumia twrp recovery
 
Hello, mkuu nina simu kama hii, napata shida. Naweza saidiwa?
 
Back
Top Bottom