Msaada apps nnayoweza kupata namba ya nje ya kulipia...

Msaada apps nnayoweza kupata namba ya nje ya kulipia...

lauzi96

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2014
Posts
422
Reaction score
805
Habari zenu,naomba mnisaidie apps nzuri ya kupata namba ya nje zamani nilikuwa natumia namba niliipata primo nikaibiwa simu lakini nikijaribu kuidownload tena primo haionekani.
 
Kwani wewe unacheza namba ngapi? Manchester united hawana namba tisa... Unaweza kupata namba
 
Kwani wewe unacheza namba ngapi? Manchester united hawana namba tisa... Unaweza kupata namba
Manchester utd ni apps au timu mbona unataka kujifanya chizi sio kila kitu lazima ucomment kutafuta umaarufu usiokuwa na mpango.
 
Back
Top Bottom