ccm mtoto wao
JF-Expert Member
- Dec 19, 2018
- 562
- 483
Wadau namiliki Samsung mini table 3 mwaka wa tatu sasa. Juzi baada ya kuchomeka chaji ikajizima ila iliendelea kuchaji.
Toka siku hiyo imebadili namna ya kuchaji nikitaka kuchaji lazima ijizime ndo ichaji.
Wajuzi wa mambo naombeni msaada tatizo ni nini kama chaja nimebdili hadi nimechoka