saidpatrick
New Member
- Apr 30, 2018
- 4
- 0
Naomba msaada kwa anayefahamu simu yangu aina ya Alcatel One Touch ina tatizo moja, ukiweka data on inafanya kazi ila ukiset 3G, network inakata kabisa.. naombeni msaada kwa anayefahamu namna ya kutatua hilo tatizo