Tatizo la download pending kwenye simu

Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
39,902
95,407
Wakuu naombeni msaada wenu, simu yangu aina ya xiaomi Mi A2 lite kila nikijaribu kudownload app kutoka playstore au nikijaribu kuupdate app inaniambia kuwa download is pending. Hata hivyo simu yangu bado ina nafasi kubwa sana wala haijajaa na playstore ipo updated pia. Tatizo hilo limeanza juzi. Nimejaribu yafuatayo ila imeshindikana: Nimeclear caches za app ya playstore na pia nimesign out na kusaign in kwenye account yangu ya google ila bado tatizo lipo palepale!

Shukrani
Screenshot_20190622-075638-picsay.jpeg
 
Nenda kwenye settings kisha tafuta App ya google play store alafu clear all cache na itakuwa vyema kama uki_clear all data kabisa kwenye hio App tatizo hutoliona tena

Settings-> apps-> google play store -> storage -> clear data ambayo itafuta na cache kabisa.

Pia unaweza kufanya vivyo hivyo kwenye google play services -> storage -> manage space -> clear all data tatizo limeisha
 
Nashukuru mkuu, sasa hivi imekuwa Ok!!
Nenda kwenye settings kisha tafuta App ya google play store alafu clear all cache na itakuwa vyema kama uki_clear all data kabisa kwenye hio App tatizo hutoliona tena

Settings-> apps-> google play store -> storage -> clear data ambayo itafuta na cache kabisa.

Pia unaweza kufanya vivyo hivyo kwenye google play services -> storage -> manage space -> clear all data tatizo limeisha
 
Mimi nikitaka kuangalia/kudownload picha jamii forum inanirudisha kwenye chapa ya jamii forum
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom