Nenda Settings==sound== alaf adjust hiyi media volume. Baada ya hapo rudi tena kama bado tatizo lipoGuys nilifanya factory reset ya cm yang camon cx lakini baada ya apo instagram, YouTube na watsap zmeacha kutoa saut japokuwa ukiweka earphone saut inasikika na calls za kawaida pia saut inasikia, mwenye utaalamu wake apa anisaidie nifanyaje
Nenda Settings==sound== alaf adjust hiyi media volume. Baada ya hapo rudi tena kama bado tatizo lipoView attachment 1135553