kingsniper
Member
- Oct 1, 2016
- 34
- 21
Naombeni msaada wana JF coz file zangu pamoja na documents zote kwenye loptop yangu zimekua converted to VLC na hata ukiforce kwenda word or PDF hazifunguki..please Naombeni msaada.
Toa msaada mengine hayakuhusuMaliza kwanza kula maandazi maana sio kwa mafuta hayo ulivyoyapaka kwenye kioo
Uninstall VLCNaombeni msaada wana JF coz file zangu pamoja na documents zote kwenye loptop yangu zimekua converted to VLC na hata ukiforce kwenda word or PDF hazifunguki..please Naombeni msaada.View attachment 1132185
Ahsante..nilisha fanya hivyo but bado shida ipo pale paleUninstall VLC
Then jaribu kufungua kwa kutumia accurate program kabla hujarudisha vlc
Umeitoa vlc kwenye computer bado files zionekane zinafunguka kwa vlc?Ahsante..nilisha fanya hivyo but bado shida ipo pale pale
Ahsante ngoja nijitahidiAnza na format moja moja....type ya Doc...chagua pale open with..then chagua microsoft word alafu set microsoft word as a default program...then nenda za pdf...open with Adobe? Then Ppt open with Microsoft PowerPoint. ..then...xls...choose Microsoft Excel. ..kama una knowledge ya computer utaweza kusolve kwa haya maelezo....
Okay nimekuelewa mkuuNi issue ndogo ya file association na default program ya kufungulia file.
>Go to file
>right click
>choose open with
>chagua office app kama ni excel file chagua open with excel, then utaset default kua excel ifungue mafaili yite ya aina hiyo..
Umesoma vizuri hiyo notepad? Mbona maelezo yanajitosheleza au haujui kiingereza? Kiufupi wajanja wamepita na file zako kwahiyo inabidi uwalipe ili wakupe key ya kufungulia files zako.Ahsante..nilisha fanya hivyo but bado shida ipo pale pale
Okay..koo nilipe hizo dola zote hapo mimi sio..hahahaUmesoma vizuri hiyo notepad? Mbona maelezo yanajitosheleza au haujui kiingereza? Kiufupi wajanja wamepita na file zako kwahiyo inabidi uwalipe ili wakupe key ya kufungulia files zako.
Naombeni msaada wana JF coz file zangu pamoja na documents zote kwenye loptop yangu zimekua converted to VLC na hata ukiforce kwenda word or PDF hazifunguki..please Naombeni msaada.View attachment 1132185
Ndiyo hivyo wameshafanya yao. Hayo maelezo yabajitosheleza kabisa tena wanasema uwatumie one encrypted file ambalo halina vitu vya muhimu na wamekupa masaa 72 kwahiyo ukishindwa utalipa zaidi. Hawa jamaa siyo wazuriOkay..koo nilipe hizo dola zote hapo mimi sio..hahaha
Sent from my SM-G900F using JamiiForums mobile app