Azam app nini kimetokea?

Azam app nini kimetokea?

SUASO

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2017
Posts
770
Reaction score
1,198
Salute comrades

Sasa yapata wiki kila nikiingia ktk AZAM APP nishuhudia vitu vya hovyo kabisa, unaingia Azam two unasikia kipindi kinaendelea lakini picha/ watu hawaonekani, vivyo hivyo channel zote zilizopo kwenye hii application

Je hili tatizo lipo kwangu tu? Au wengine mnakutana nalo?

Naomba uongozi/ management yote ya Uhai studio mshughulikie tatizo hili maana mnatutesa wateja wenu...tunashindwa kufatilia vipindi mbalimbali maana wengine tupo mbali na nyumba zetu,familia au sehem za kustsrehe Kama vile bar ili kupata burudani za mpira!!

Afcon tunajua mtaonyesha hivyo tunaomba Sana mlitatue hili tatizo ili kutusaidia watu tunaotumia Azam App!!

** Mzalendo halisi nikiwa porini**
 
Huko polini tatizo limeanzia hapo
Haaaa mkuu wewe unatumia Azam app? Porini mtandao uko vzr Hadi Skype inakubali, video call za fb, WhatsApp tatizo app ya Azam
 
kumbe tuko wengi,, mimi niliifutilia mbali ilivyoanza kunizingua,,
 
kumbe tuko wengi,, mimi niliifutilia mbali ilivyoanza kunizingua,,
Mkuu Ni tatizo Sana, sijui wanawaza Nini? Sijui hawajui km Kuna tatizo?

Japo nilipitia ukurasa wao wa Instagram nikaona watu wengi Sana wametoa kero hii lakini Hakuna kinachoendelea
 
Huko polini tatizo limeanzia hapo
Umeona jinsi inavyotokea? Na hapo unaendelea kusikia kipindi kikiendelea ila picha hizioni
Screenshot_20190617-184658.jpeg
 
Management wameenda Hijja -Macca tangu mwezi wa Ramadhan
 
Toka wameupdate app yao imekuwa ya hovyo sana inajilog out yenyewe ukiweka password wanakwambia sio na wakati ndio password yako niliifutilia mbali baada ya kuona inanisumbua tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom