Eraldius
JF-Expert Member
- Jun 17, 2011
- 1,123
- 913
Wanabodi habari zakutwa. Kama kichwa kinavyojieleza kwawiki nzima simu zangu zinavyoingia ndivyo nikifika nyumbani mkewangu anavyo nipa taarifa na kulalamikia maongezi yangu akinilaumu. Nimevumilia ila sasa naona huu utakuwa ni mchezo. Ushauri wenu kama kwenye kampuni ya simu ya mtandao ninao utumia nifanye hatua zipi kujiweka sawa na hili tatizo?
Msaada wa mawazo yako au kulielewa hili swala utasaidia sana
Msaada wa mawazo yako au kulielewa hili swala utasaidia sana