Namna ya kumpunguza battery heating ya Samsung galaxy C5

Plan Radeem King

Senior Member
Mar 25, 2018
198
111
Nisiwe na maneno mengi sana but natafuta ushauri wa kipi cha kufanya maana baada ya ku update OS from 7 to 8 device imekuwa ikiporomosha charge faster sana! Kibaya zaidi inachemka mno hasa kipindi data ikiwa on.

Pili before updating to OS 8 battery capacity ilikuwa inaonyesha 2600mah but after updating to 8 I mean Oreo inaonyesha battery capacity ni 2000mah!

HEBU KWA NIDHAMU NA TAADHIMA KUBWA SANA MJE TUPEANE MIANYA MBALI MBALI YA NAMNA YA KU SOLVE HILI TATIZO
samsung-galaxy-c5-1.jpeg
 
System Update normally can cause Abnomality. Hiyo OS mpya lazima itakuwa imekuja na Improvements, Lakini Hardware zipo constantant. Kwa hicho kilichotokea mm naona kawaida tuu. Hata mm kw3ny3 S8 yangu baada kupata Updates kila miezi miwili simu inatafuna charge sana.

Cha msingi Tumia Power server ku manage Battery. Pia kama una Running apps nyingi basi jaribu kuzisitisha
 
Boss naanza kukuelewa vizuri sana
Sasa nikitumia njia ya kusitisha baadhi ya apps si nikama najinyima kupata updating kwa wakati ya hizo apps?
 
Sasa utafanyaje Brother, kama vipi Downgrade to its Native Android OS Version. Kwani ni features gani mpya umezipata kwenye Oreo
Boss naanza kukuelewa vizuri sana
Sasa nikitumia njia ya kusitisha baadhi ya apps si nikama najinyima kupata updating kwa wakati ya hizo apps?
 
Mimi J7 Pro yangu imeanza kula sana chaji ingawa nimetoka nayo mbali tangu Nougat hadi sasa hivi pie ndo inanifanya niwaze kununua simu ingine..possibly Samsung A50 au A70
 
Back
Top Bottom