Red me note 7 pro inasumbua haikamati network

mchepuko

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2014
Posts
1,192
Reaction score
1,419
msaada wakuu nipo dar sim yangu red me note 7 pro inasumbua kukamata internet ....nimeshafanya settings zote muhmu bado tu kuresett....
 
Unaposema network Ina maana Hata kupiga simu na sms haifanyi? Ama ni internet tu huwezi ingia WhatsApp na Facebook?
 
internet pekee boss, vingine vinafanya....nimeshaset APN nk nahitaj mtaalam wa hii sim anisaidie....
 
Apn ungeandika neno internet bila kukosea spelling?

Na Kama una line mbili angalia Apn umeseti line husika, mfano internet umefunga line 2 na bando lipo line 1 haitasaidia.

Pia angalia line yenye bundle ndio ipo active kutumia internet? Setting yake inakuwa kwenye sim card management
 
Hawa wachina wanajua yaani kila siku simu yangu naiona mpya
Hahah kabisa boss nataka nimsaidie kiongozi hapo anaeboreka na redmi note 7 pro.
Hizi kazi ni hatari natoka na 50% ina last hadi usiku naporudi mishe zangu na mda mwingi nawasha data yaani kwa ufupi wa MI tunasahau kuhusu kutembea na charger au kuhusu kutembea na simu ya backup au kuulizwa mbona ulikuwa hupatikani,💪
 
Mkuu mie yangu nahisi kuna kitu inazingua eti Kwa speed ya 4g kwa laini zote mbili , ikiwa data on ni masaa kama 6 au saba mkuu inakata chaji .Nisett vipi kufunga mi apps ambazo pengine yanajistart kwa back ground najipanga kuchukua redmi7a kama kitochi changu vile
 
Hahah kabisa boss nataka nimsaidie kiongozi hapo anaeboreka na redmi note 7 pro.
Hizi kazi ni hatari natoka na 50% ina last hadi usiku naporudi mishe zangu na mda mwingi nawasha data yaani kwa ufupi wa MI tunasahau kuhusu kutembea na charger au kuhusu kutembea na simu ya backup au kuulizwa mbona ulikuwa hupatikani,💪
Kama hio simu umekua nayo kwa zaidi ya mwaka basi ipo vizuri kipimo cha simu ni baada ya mwaka mmoja kama performance ipo vile vile hio simu ni imara ila kama ina chini ya miezi 12 simu zote hua zipo hivyo
 
Daa nilitaka niichukue bora nigairi tu nichukue samsung brand ambayo weng wanatumia na bands zake za network zinaendana na mitandao yetu ya tz
 
msaada wakuu nipo dar sim yangu red me note 7 pro inasumbua kukamata internet ....nimeshafanya settings zote muhmu bado tu kuresett....
We kijana sema sie tukusaidie simu kali hiyo c global au weka hapa tutizame spec zake atatusaidia kaka Mkwawa kujua kama inapiga mzigo huku au laah
 
Daa nilitaka niichukue bora nigairi tu nichukue samsung brand ambayo weng wanatumia na bands zake za network zinaendana na mitandao yetu ya tz
Simu kali hiyo boss achana na Samsung hizo simu kama SARE ZA VIJORA bhana ukipita mitaani.
 
Back
Top Bottom