Msaada: Fito za Dish langu 8" zimekula kutu na kukatika

1954tanu

JF-Expert Member
Jul 19, 2013
1,038
487
Jamani nawaombeni msaada. Je1 Naweza pata wapi fito za dish 8 ft. Nimewahi ambiwa nichonge nondo. Hata hivyo, hazikunifaa kabisa.
 
Jamani nawaombeni msaada. Je1 Naweza pata wapi fito za dish 8 ft. Nimewahi ambiwa nichonge nondo. Hata hivyo, hazikunifaa kabisa.
Ni kampuni gani. Kama ni DStv hivyo vyuma wanaviuza ktk ofisi zao kubwa, kama sh 10,000 au 20,000. Otherwise chukua fundi afanye vipimo ukachonge Gerezani, Kariakoo DSM
 
Jamani nawaombeni msaada. Je1 Naweza pata wapi fito za dish 8 ft. Nimewahi ambiwa nichonge nondo. Hata hivyo, hazikunifaa kabisa.
Mkuu Hata hizi nondo zinatofautiana unene, uimara etc.

Ume consider vyuma vya style hii?
images

Wanatumia kwenye mashule kutengeneza madawati ama kutengeneza frames na vitu vifananiavyo,

Na wakati wa uchomeleaji pia waambie wa re enforce na vipande vya nondo kwenye maungio wanapochomelea.
 
Back
Top Bottom