Kwa watumiaji wa Adobe after effects njiani mnisaidie hapa, nimekwama.

Stephen Ngalya Chelu

JF-Expert Member
Oct 31, 2017
7,618
16,346
Wakuu,
Hivi majuzi nimeanza nimeanza kujifunza kutumia Ae sasa shida ninayoipata ni kuwa nikiiport video ina play kwa sekunde 14 hivi na haiendelei tena. Nimejaribu kubadilisha duration katika composition settings lakini haijasaidia. Nimejaribu ku adjust duration katika layer yenye hiyo video lakini haijasaidia pia.
Na kingine ni kuwa, nikijaribu kushusha frame rate hadi 8fps kwenye compsition settings video ina play hadi sekunde 40 hivi na nikiziongeza hadi 50fps inakuwa fupi zaidi.

Taharifa za ziada.
Video ninayotaka ku edit ina 50fps.

Msaada tafadhali
 
tumia wondershare filmora 9 mkuu its the best, simplest video editing software.
kuhusu Adobe mkuu sina experience BUT ATLEAST JARIBU KUIACHA VIDEO ILOAD COMPLETELY KABLA HUJAANZA KUISHUGULIKIA.
 
tumia wondershare filmora 9 mkuu its the best, simplest video editing software.
kuhusu Adobe mkuu sina experience BUT ATLEAST JARIBU KUIACHA VIDEO ILOAD COMPLETELY KABLA HUJAANZA KUISHUGULIKIA.
Mkuu, nataka kuweka effects kwenye hiyo video kisha niihamishe kwenye Premiere pro..
 
hebu tuma screenshot ya composition setting ,,,,
tuanzie hapo.....
 
Mm ni expert wa vomputer tu ila ae siijui hata kidogo. Je? Softwate yako ina lisence
 
Fps ina deal on frame rate per sec so i wouldn't advice ushuke chini ya 24 (movie frame rate) because umesema una weka effects na pia kuongeza mda unaongeza kwenye comp settings under the frame tab kuna duration so ongezea hapo
Na pia rudisha the fps to 30 default kama unatumia cc kwanayo jua ili upate a lot more still images za kuedit

and the reasen 8fps inakuwa na mba mrefu is because of the images inayo tumika wakati wa compositing na inawezekana video yako ina fps tofauti na composition layer yako hence long video
 
Shukran wakuu, sijui tatizo lilikuwa nini ila nime uninstall na kui install upya sasa hivi inapiga mzigo fresh.
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom