USB port

ommy clear

JF-Expert Member
May 26, 2018
214
57
Sorry wana jf, naomba kuuliza juu ya PC yangu natumia HP 430 lakin port zake nikichomeka flash inakubali kusoma na kutulia fresh lakini nikitumia USB ya kwenye simu naona inasoma lakini haitulii inacheza cheza sana nimejaribu zaidi ya USB moja , naomben ushaur au nibadilishe window?
 
Hapana Hilo so tatizo la kubadili windows.

Kucheza cheza unamaanisha Ina connect na ku disconnect?
 
Haswaa uko sawa kabisa mkuu
Hapo mambo mawili.
1. USB ya kwenye PC imelegea, either kichwa Cha waya wako ama port ya kwenye PC, unapoichomeka inakaza kabisa?

2. Simu yako port yake ndio inacheza.

Fanya try and error, jaribu kwanza kubadili simu nyengine uone Kama ni port ya simu yako ama waya, Kama tatizo linaendelea tafuta waya unaokaza viZuri, Kama tatizo linaendelea jaribu kubadili chomeka port nyengine ya PC etc.
 
Okay thnks

Daah chief imejaribu Mara nyingi nimetumia USB tofauti tofauti na simu tofauti tofauti lakini bado inasumbua sijui nitumie njia gani nyingine mkuu?
 
Most of time ni tatizo la hardware Hilo, jaribu kutafuta Hata vile vi USB vifupi ujaribu kuegesha.
 
Hapo mambo mawili.
1. USB ya kwenye PC imelegea, either kichwa Cha waya wako ama port ya kwenye PC, unapoichomeka inakaza kabisa?

2. Simu yako port yake ndio inacheza.

Fanya try and error, jaribu kwanza kubadili simu nyengine uone Kama ni port ya simu yako ama waya, Kama tatizo linaendelea tafuta waya unaokaza viZuri, Kama tatizo linaendelea jaribu kubadili chomeka port nyengine ya PC etc.
try
3. Jaribu simu yako kwenye pc nyingine
4. jaribu ku uninstall usb driver alaf restart pc
5. ingia kwenye website wa manufacturer wa drivers zako na u download
 
Unaweza kunitumia link ambayo naweza ingia na kudownlod driver kwa urahis natumia hp 430 corei3 4th generation
try
3. Jaribu simu yako kwenye pc nyingine
4. jaribu ku uninstall usb driver alaf restart pc
5. ingia kwenye website wa manufacturer wa drivers zako na u download
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom