Wale wenzangu wapenzi wa Gb WhatsApp, Yo WhatApp, WhatsApp Plus hali ni tete!!!

vidmate

JF-Expert Member
May 7, 2018
686
1,204
Katika mabadiliko ya kushtua kwetu wapenzi wa modded WhatsApp Apk ni hili, Official Whatsapp version kupiga marufuku watumiaji wanaotumia programu za Whatsapp kama vile GBWhatsapp, FmWhatsApp, WhatsApp Plus n.k

Official WhatsApp version inakuja na feature nyingi nzuri, lakini daima kuna baadhi ya watumiaji ambao tunataka zaidi kutoka kwenye programu. Kwa watumiaji wa hizo Apk kama GBWhatsapp, OGWhatsapp au Whatsapp Plus inakuja na features nzuri zaidi ambazo hutoa sifa nyingi zaidi hasa linapokuja suala la uboreshaji na privacy, hapa watumiaji wa hizi app mtanielewa vzr uhondo wake siwezi usimulia ila wewe unaetumia WhatsApp ya kawaida naamini kuna vingi unavikosa huku na laiti ungevijua usingependa uvikose...

IMG_20190524_215422.jpg


App hizi tumezifurahia kwa muda sasa lakini sasa inaonekana kama mambo yanafika mwisho kwa uchungu, sababu official Whatsapp imeanza kuchukua hatua dhidi ya watumiaji wa hizi app zilizochakachuliwa kdgo watu wanapigwa ban za kuendelea kuzitumia na wanakutoa option moja ya kurudia WhatsApp ya kawaida ama vinginevyo utakuwa permanent banned kutumia WhatsApp.

Kutoka siku chache zilizopita, watumiaji wa GBWhatsapp wameripoti kwamba wanapata marufuku kwa muda kutumia Whatsapp. Na leo ilikuwa zamu yangu mdau wa Gb Whatsapp siku nzima napata ban kila baada ya muda mfupi napigwa ban za masaa yakutosha...

Nilipofatilia sababu ya kupigwa ban kwa muda Whatsapp wanasema ni ukiukaji wa masharti yake ya huduma. Wapo wengine waliopigwa ban kwa masaa 9 wakati wengine walipigwa marufuku kwa lisaa.

Kilichonifurahisha ni GbWhatsApp kutoa taarifa kuwa hivi karibuni watatoa latest version ya GB WhatsApp itakayoweza kufanya kazi kama kawaida bila shida yoyote, hivyo sasa option iliyopo ni kurudia WhatsApp ya zamani hadi latest Gb WhatsApp itakapotolewa
 
Katika mabadiliko ya kushtua kwetu wapenzi wa modded WhatsApp Apk ni hili, Official Whatsapp version kupiga marufuku watumiaji wanaotumia programu za Whatsapp kama vile GBWhatsapp, FmWhatsApp, WhatsApp Plus n.k

masaa yakutosha...

po ni kurudia WhatsApp ya zamani hadi latest Gb WhatsApp itakapotolewa

kweli aiseee .......... we soma hapa
 
kweli aiseee .......... we soma hapa
Hii case yake ni tofauti na hii yetu yy itakuwa alikuwa na masumbufu yake mengine ndio sababu wakampiga permanent ban ila case yetu mtu mpaka upuuzie sana hizi temporary ban zao mwisho wa siku ndo unapigwa permanent ban
 
Taja vitu 10 vya ajabu kwenye hizo whattsap zenu ambazo hazipo kwenye main whattsap?

Hizi hapa ni moja ya tofauti na hiyo official version zipo kotekote zina manufaa yake na hasara pia inategemeana na mtazamo wa mtu, mahusiano yake na kwa watu wake wa karibu... Na hizi tofauti ndio moja ya sababu official version wanatupiga ban

1. Unaweza weka status video yenye zaidi ya mb 10

2. Kila baada ya muda mfupi huwa updated na kuja na feature kali zaidi

3. Ant status delete, ukishaweka tu hata ufute mi nitaiona na nitajua uliifuta hahahah

4. Ant message delete yaan ukishanitumia sms hata ufute lazima niione na naona uliifuta

5. Unaweza badili mwonekano wake kwa 100℅ kuanzia kwenye font hadi icon

6. Unaweza share video yenye ukubwa sana tofauti na hiyo nyingine

7. Naweza ku control blue tick na second tick,,, ww kama unanidai utatuma sms na kamwe hutoona kama mezisoma

8. Naweza kuficha last seen kwa mtu mmoja mmoja na kwa group pia we utaona Mara yangu ya mwisho kuingia WhatsApp ni mwaka jana kumbe nipo online

9. Naweza download status yako...

Wadau ebhu ongezeeni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom