Nahitaji kujua maana ya maneno yafuatayo
1)Boot key
2)Boot looder
3)Boot menu
4)Security Patch
5)Kernel version
6)Custom rom na Stock rom
7)baseband version
Apple wame confirm kwamba itatoa kiasi cha USD 1 million kwa atakaeweza kui hack Iphone. Kazi kwenu wataalam wetu.
Apple has massively increased the amount it’s offering hackers for finding...
Waungwana kuna anti virus naitumia kwenye PC yangu inayoitwa smadav nimejaribu kuscan naona naletewa ujumbe kama huo apo kwenye picha , lakin nikijaribu kufix hii ant virus inazingua naomben...
Kuna pc ya mshkaji ilikufa mother board, ni hp 450 g4, wanataka kuiuza kama spare kwa mafundi
Ram: 8gb DDR 4
Hard disk: 1 tb
Kioo, keyboard, speaker, Dvd havina tatizo
Battery liko poa
Housing...
Amani iwe kwenu wakuu
Samahani jaman mm nina simu KTouch sasa imeanguka na kuharibika touch hivyo haisense kabisa
Sasa naomba kujua je kuna uwezekano wa kuibadilisha hio touch kwa kutumia touch...
Amani iwe kwenu wakuu
Samahani jaman mm nina simu KTouch sasa imeanguka na kuharibika touch hivyo haisense kabisa
Sasa naomba kujua je kuna uwezekano wa kuibadilisha hio touch kwa kutumia touch...
Hello JF Visitors and Members.
I wish to make money online using Google adsense.
What is different between page views/visitors and clicks?
I want to sell google adwords in my websites...
Ni sony mini-hifi GZR999D ninapoimulika na tochi kwenye sensor ya remot control inareflect maandishi ya kirabu/quran nisaidieni wadau inaniogopesha sana.
KAMPUNI YA APPLE YAPOTEZA DOLA BILIONI 9 NDANI YA SAA MOJA
> Imepoteza fedha hizo ambazo ni sawa na Trilioni Tsh. 21 katika soko la hisa, saa moja baada ya Jony Ive aliyehusika katika ubunifu wa...
Tafadhali naomba msaada kwa aliyekwishakumbwa na hili tatizo kwenye tv yake aina hii ya sony inch 29 .Tatizo lake lipo wakati wa kuiwasha ukiiwasha inaanza kuwasha taa nyekundu na kijani kwa...
Hey mambo nimekuja hapa kudiscusss swala moja la idea from nowhere kwamba kumekuwa na wimbi kwamba watu wana double accounts!
So mimi nlichokua nafikiria kwamba kungekuwa na "MACHINE LEARNING"...
Naomba kueleweshwa vizuri wataalamu maana naona nimekariri ila sijaelewa vizuri kabisa hivi vitu
1.inner join
2.left join
3.right join
4.full join
Maana vinaniuniza kichwa sana
Jamaa yangu wa karibu namba yake ya simu mke wake kaidukua, kila akifanya mawasiliano na watu mkewe anajua, hadi meseji, afanyeje kukabiliana na hali hii? Mwenye ujuzi tafadhali msaada.
Habar zenu wakuu. Naombeni namna ya kuhack coins, stars, money etc bila ya kuroot simu yangu. Mnatumia njia au app gani? Shukrani.... cc Chief Mkwawa and......
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.