Andika Post zako unique 20+ na zenye maana,elewa unaandika kuhusu mada gani,husikopi vitu mitandaoni,boresha mwonekano wa site yako,tafuta traffic kidogo wa kutembelea site yako then omba utafanikiwa.Mambo vp wadau, nilijaribu kuapply adsence lakini nimekataliwa. Ni vitu gani vya msingi nifanye ili nikubaliwe na adsense kwenye blog yangu?
Blog yangu ya nini babu,we fuata ushauri,kama hutaki acha.Blog yako inaitwaje Tuanzie hapo kwanza.
Blog yangu ya nini babu,we fuata ushauri,kama hutaki acha.
😃😃Kwamba procedure nlizompa hataki anataka kuona blog yangu,na kumpa blog sio dhambi but hao hao ukiwapa...mambo yap yakishindikana wanasababisha na blog yako ifungiwe matangazo.Wabongo ndio wanafeli hapa
Ac mbili mbili au sio
[emoji3][emoji3][emoji3] dunia haina hurumaBlog yangu ya nini babu,we fuata ushauri,kama hutaki acha.