Wanasema eti kuwa n ngumu ku unlock iPhone kutokana ina high security lakin ukiingia utube, kuna washikaji wakihindi, Mara wazungu vlee... wana unlock hizo simu hii imekaaje wataalam wa mambo hizi...
Habarini humu...Nina application yangu moja hivi ya Android ambayo ninastream live tv sasa google wameiremove playstore wakisema ninaonesha unauthorized copyrighted material sasa ninawezaje kupata...
Ndugu wataalam nina iPhone, iliyotumika Marekani, hapa Tz nimeshindwa kuitumia kwa network zetu.
Ninapoweka line ina dai activation na mwisho inaishia na Sim Card not valid.
icloud na Apple ID...
The co-founder and chief executive of Twitter had his own account on the service briefly taken over by hackers.
A group referring to itself as the Chuckling Squad said it was behind the breach of...
Habari za asubuhi wakuu! Kwenye pita pita zangu kwenye menu ya tigo *147*00# nimekutana na hichi kifurushi cha Home Internet, na kwa bei hii nimeona kama kizuri kwa GB wanazotoa kwa mwezi...
kwangu natumia excel 2007, hii excel nimeizoea tangu zamani na nimekuwa mbishi kidogo kwenda kwenye hizi mpya.
Kuna bbaadhi ya madaili ya excel nikiyafungua huwa yana emoji, hapa excel yangu huwa...
Habari wana JF, karibuni kwenye makala nyingine na siku ya leo tutaenda kuangalia njia mbalimbali za kutumia simu ya Android ambazo huwenda kwa namna moja ama nyingine ulikuwa huzijui. Kumbuka...
Salam hope mu wazima
Ni hivi wadau huwa natumia chrome kuingia jf sasa tatizo nikiupload inaandika low memory wakati simuyangu ina spase ya gb 3(hapo namaanisha spase iliyo baki)wajuzi naomba msaada
Kwa yeyote mwenye kujua chochote kuhusu hii kitu tafadhali ushauri au msaada kwa lolote lile ambalo linaweza kunipa matokeo chanya...a/c ya skrill iko active tayari lakini shida nikufanya payment...
Habari.wanaTeknolojia
Nina wazo na tayri majaribio kadhaa yashafanyika nje ya mji na makaz ya watu. (porini)., LENGO la project hiyo ni kutrack magari kuyafuatilia ili kubaini madereva wazembe...
Habari wakuu poleni na majukumu..Nina simu yangu HTC DESIRE niliinunua kwa mtu kama miezi mitatu iliyopita na nikawa naitumia kama kawaida. CHA AJABU leo jioni nilivyoingia Facebook simu...
Mambo vp wakuu, mwenye ujuzi wa kuregister top domain na kui park kwenye blogger anahitajika.
Mawasiliano: Whatsapp:+254793543377, Email:flxjspht@gmail.com. msaada pliz. Thanks
Nitadesign website template ya kisasa kwa ajili yako au mteja wako,bei inaanzia 80,000/=
Nita design webpage inayovutia kuanzia e-commerce to news site or donation site.
Offer nitakutengenezea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.