MSAADA TAFADHALI.

MSAADA TAFADHALI.

MotoYaMbongo

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2008
Posts
2,146
Reaction score
887
Jamaa yangu wa karibu namba yake ya simu mke wake kaidukua, kila akifanya mawasiliano na watu mkewe anajua, hadi meseji, afanyeje kukabiliana na hali hii? Mwenye ujuzi tafadhali msaada.
 
Shida ni kwamba,anasikiliza hadi mazungumzo ya jamaa na ndugu zake, mengine ya kifamilia.
Hizi ndoa hizi ? Hivi ni jambo gani katika famili likawa haramu kwa mkeo? Au huyo ni kimada?acha porojo baki njia kuu
 
Jamaa yangu wa karibu namba yake ya simu mke wake kaidukua, kila akifanya mawasiliano na watu mkewe anajua, hadi meseji, afanyeje kukabiliana na hali hii? Mwenye ujuzi tafadhali msaada.
Mwambie wabadilishane mpaka simu kabisa, ili ajionee vinavyoendelea kirahisi.[emoji3]

Cc Unforgetable
 
Jamaa yangu wa karibu namba yake ya simu mke wake kaidukua, kila akifanya mawasiliano na watu mkewe anajua, hadi meseji, afanyeje kukabiliana na hali hii? Mwenye ujuzi tafadhali msaada.
🦜
mshauri jamaa aangalie application zote kwenye simu mpaka ambazo ziko hidden. either kuna application mkewe kaitumia ambayo inatumika kudukua( mara nyingi zinakua hidden).
Au a-format simu
 
Back
Top Bottom