custom binary blocked by frp lock note 5 MSAAADA TAFADHALI

Masokwe

JF-Expert Member
Mar 30, 2019
336
500
MSAAADA TAFADHALI
custom binary blocked by frp lock
HII IMETOKEA KWA MY SAMSUNG note 5
MSAADA TAFADHALI
 

Tetramelyz

JF-Expert Member
Apr 25, 2014
3,951
2,000
Hiyo simu ni yako kweli?
Imekuwaje umesahau e-mail uliyotumia ktk simu yako?

Maana FRP huwa inazuia mtu kutumia simu ambayo sio yakwake kama amefanya factory reset
 

Masokwe

JF-Expert Member
Mar 30, 2019
336
500
Hiyo simu ni yako kweli?
Imekuwaje umesahau e-mail uliyotumia ktk simu yako?

Maana FRP huwa inazuia mtu kutumia simu ambayo sio yakwake kama amefanya factory reset
Nimenunua kwa hawa jamaa zetu wa online ,
 

Graph

JF-Expert Member
Jul 20, 2016
2,742
2,000
Hiyo simu probably umenunua ya wizi.

Kusolve hilo tatizo unaweza fanya factory reset tu kwa kupitia kwene recovery mode. Kila simu ina njia tofauti ya kuingia kwenye recovery mode, google model yako utapata njia ya kuingia recovery mode then reset
 

Snowden E

JF-Expert Member
Apr 27, 2018
470
1,000
MSAAADA TAFADHALI
custom binary blocked by frp lock
HII IMETOKEA KWA MY SAMSUNG note 5
MSAADA TAFADHALI
Hiyo ni issue simple.
Inatoka, ila kuna uwezekano hilo tatizo likarudia tena coz unatumia CUSTOM FIRM WARE.
Ili tatizo liondoke kabisa, inabidi ufanye installation ya OFFICIAL FIRM WARE.
Andaa TZS 15,000/=
 

Masokwe

JF-Expert Member
Mar 30, 2019
336
500
Hiyo simu probably umenunua ya wizi.

Kusolve hilo tatizo unaweza fanya factory reset tu kwa kupitia kwene recovery mode. Kila simu ina njia tofauti ya kuingia kwenye recovery mode, google model yako utapata njia ya kuingia recovery mode then reset
jamaa kazitoa huko uchina mkuu, so labda kawaibia wachina nadhani
 

Tetramelyz

JF-Expert Member
Apr 25, 2014
3,951
2,000
FAP lock iko vipi ?
FRP ni lock ambayo inazuia mtu kutumia simu ambayo sio ya kwake endapo atajaribu kufanya hard reset ili kutoa ile lock ya kawaida. Baada ya kufanya reset simu itataka mtu aweke e-mail na passwed iliyotumika wakati wa kuregister simu....kwahiyo kama mwizi hafahamu hizo details hawezi kuitumia hiyo simu...

Zipo njia za kuiondoa hiyo FRP, kwa wajuvi wa computer wa software za simu
 

Evari77

JF-Expert Member
Apr 25, 2015
527
500
Customer binary blocked by frp inatokea baada ya kuwa simu ipo rooted na ime fanyiwa patch certificate. Ukizima tu na kuwaza unashangaa tu imekuwa hivyo wala si kwa ku reset kama wadau wanavyo sema suluhisho ni kutafuta firmware nyingine na ku flash lakini uwezi kupata network service mpaka tena uroot na ku parch certificate. Kufanya hivyo inahitaji box la z3x au mengine hivyo kumuona fundi ni lazima
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom