Maana ya maneno haya kwenye teknolojia

Maana ya maneno haya kwenye teknolojia

Naja naja

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2016
Posts
747
Reaction score
1,559
Nahitaji kujua maana ya maneno yafuatayo

1)Boot key

2)Boot looder

3)Boot menu

4)Security Patch

5)Kernel version

6)Custom rom na Stock rom

7)baseband version
 
Kernel ndio main core/Heart kwenye Operating system yenyewe inakaa kwenye nafasi maalumu ndani ya RAM. Hvyo nasi katika hatua ya kuwaka Computer Kernel ndio huwa ya mwisho ku load kisha ndio inaonekama Desktop. (Working place on a computer )
 
ina umuhimu gani
 
Mkuu upande wa Boot loader.. computer inapowashwa kitu cha kwanza kinachofanyiwa kazi (excuted) hua ni program zinazofanya computer i boot. Ukumbuke wakati huo computer inakua haijafikia access ya ku excute data kutokea kwenye RAM so.. hizo program zinakua zipo kwenye Rom.
Soma hapa zaidi..
Hey mkuu.
Ukibonyeza batani ya ku power on Computer cha kwanza Rom computer inafungua kitu kinachoitwa Frimware kipo ndani ya ROM. Frimware ndio inaonyesha labda jina la Computer etc..Frimware inaanzisha kitu kinachoitwa Post (Power on aelf Test) kwa ajili ya kukagua vitu vyote vya hardware vilivyounganishwa kwenye computer eg Keeyboard, Mouse,speeka etc.. kama Keeyboard hamna itakupa taarifa. Kama hamna tatizo lolote hapo then Itaendelea hatua ya mwisho inaitwakutafuta Bootable Device.. Bootable Device ni Operating System mkuu eg Windows. Kama Hakuna OS basi itaishia hapo hapo mkuu.

Kwa maelezo hayo.. tatizo la komputa yako lipo kwenye OS.. either hakuna os,au HDD imekufa , hakuna HDD au OS imekufa.
 
asante
 
Nahitaji kujua maana ya maneno yafuatayo

1)Boot key

2)Boot looder

3)Boot menu

4)Security Patch

5)Kernel version

6)Custom rom na Stock rom

7)baseband version
Wewe umeuliza maswali ambayo kwanza huna weledi nayo , ushauri wangu tafuta mwalimu au tembelea google kupata hata kamwanga fulani ..
 
Nahitaji kujua maana ya maneno yafuatayo

1)Boot key

2)Boot looder

3)Boot menu

4)Security Patch

5)Kernel version

6)Custom rom na Stock rom

7)baseband version
Boot Key;.

ni button ambayo ukiibonyeza Computer itakupa machaguo ya kuBoot kutokea wapi (mfano kuboot kutokea kwenye CD/DVD ROM, USB, HDD, NETWORK etc(

Boot menu:: (Au boot options)
ni orodha au list ya Device zinazoruhusiwa na computer kuBoot from , na hii menu inakuja baada ya kubonyeza Boot Key.

Security patch;;
ni sehemu ndogo ya OS inayosimamia usalama/ulinzi wa kifaa husika.

kernel version::
Kernel ni Kiini cha OS , yaani msingi au base ya OS husika , kwa hiyo version ni toleo la ngapi....

Back
Top Bottom