Msaada kubadili "Touch" ya simu ya kichina

Msaada kubadili "Touch" ya simu ya kichina

Beberu

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2017
Posts
4,720
Reaction score
10,282
Amani iwe kwenu wakuu

Samahani jaman mm nina simu KTouch sasa imeanguka na kuharibika touch hivyo haisense kabisa

Sasa naomba kujua je kuna uwezekano wa kuibadilisha hio touch kwa kutumia touch za makampuni mengine? Mana spare za ktouch ni ngumu kupatikana hapa Bongo.

Natanguliza shukran
Wenu katika kujenga Taifa
J.V.K
 
Back
Top Bottom