NAOMBENI USHAURI NIIZE HII PC MNOVU KWA BEI GANI.

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,379
Kuna pc ya mshkaji ilikufa mother board, ni hp 450 g4, wanataka kuiuza kama spare kwa mafundi

Ram: 8gb DDR 4
Hard disk: 1 tb
Kioo, keyboard, speaker, Dvd havina tatizo
Battery liko poa
Housing kama mpya

Karibu ni kunipa ushauri
 
Kuna pc ya mshkaji ilikufa mother board, ni hp 450 g4, wanataka kuiuza kama spare kwa mafundi

Ram: 8gb DDR 4
Hard disk: 1 tb
Kioo, keyboard, speaker havina tatizo
Battery liko poa
Housing kama mpya

Karibu ni kunipa ushauri
Sio chini ya laki 4 mkuu
 
Mkuu naomba ushauri wapi itauzwa kwa urahisi kwa hii bei, huyu jamaa yangu kuna fundi alimwambia ampe 150 nikaona nimchane fundi hio bei ya kinyonyaji sana, ikabidi nimshauri aachane na hio offer.
Haraka haraka

1TB HDD auze separate 100K anapata, akitaka Hela ya haraka chini ya Hapo, hizi zinazokuja na laptop zinakuwa nzuri zaidi.

8GB DDR4 hizi ram Ni rare sana na hazipo nyingi mtaani, ddr3 Ni around 60,000 mpaka 80k kwa ukubwa huo ya DDR4 Ni zaidi ya Hapo.

Kioo Cha laptop inategemea na resolution Ila quality mbovu mtaani Ni 80K mpaka 120k

Hujataja processor Ila nayo inauzika, hasa ikiwa Ni i3/5/7

Kwanini asinunue motherboard akaifufua?
 
Aeke kwenye site Kama kupatana ama magroup Kama deals in dar separate vitu Kama ram na HDD Huwa havichukui muda hivyo vya Kama kioo na keyboard Ni Hadi mtu aharibu laptop.
 
Haraka haraka

1TB HDD auze separate 100K anapata, akitaka Hela ya haraka chini ya Hapo, hizi zinazokuja na laptop zinakuwa nzuri zaidi.

8GB DDR4 hizi ram Ni rare sana na hazipo nyingi mtaani, ddr3 Ni around 60,000 mpaka 80k kwa ukubwa huo ya DDR4 Ni zaidi ya Hapo.

Kioo Cha laptop inategemea na resolution Ila quality mbovu mtaani Ni 80K mpaka 120k

Hujataja processor Ila nayo inauzika, hasa ikiwa Ni i3/5/7

Kwanini asinunue motherboard akaifufua?
mother board ni gharama sana, kuna kipindi nilajaribu kumsaidia kufatilia mitandaoni bei ilikuwa dola 300 sawa na laki 8, mafundi wengi nao hawakuwa nayo maana walilalamika hizi pc bado ni adimu na hata kupata iliyoachwa kwa matumizi ya spea ni nadra.

Pengine labda unishauri wapi itapatikana mother board kwa bei nafuu ili laptop ifufuliwe.
 
kariakoo nayo ya kijinga sana aisee,mimi kuna pc imekufa kuipeleka tu fundi anaogopa hata kuishika,eti hajawahi kuifungua,nikaona wacha tu nisepe.
 
mother board ni gharama sana, kuna kipindi nilajaribu kumsaidia kufatilia mitandaoni bei ilikuwa dola 300 sawa na laki 8, mafundi wengi nao hawakuwa nayo maana walilalamika hizi pc bado ni adimu na hata kupata iliyoachwa kwa matumizi ya spea ni nadra.

Pengine labda unishauri wapi itapatikana mother board kwa bei nafuu ili laptop ifufuliwe.
Model ya PC na cpu yake?
 
Mkuu me nataka kioo cha hp probook 6455b,unaweza nisaidia wapi nikapata
Hivi vioo Vinaingiliana mkuu, vitu muhimu vya kuangalia Ni size, connector ya display, upande ambao hio connector ipo na resolution. Ukishapata Hizo details unaweza tafuta display yoyote na ukaweka kwenye hio laptop.

Ukitaka display nzuri chomoa kwenye laptop ya zamani, ukitaka display ya haraka zipo kariakoo around 80k Ila quality Ni tft
 
Back
Top Bottom