airtel internet configuration setting

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
kwa wale wanao tumia simu yenye line ya airtel wanaweza kutuma neno internet kwenda namba 232. Baada ya hapo utatumiwa text ya kuinstall ili uweze tumia internet kwenye simu yako. ni hayo tu. mia
 
tuma neno "ALL" kwenda namba hiyo hiyo ilikuweza kupata configurations zote kama vle za¡ïWAP¡ïMMS¡ïSTREAMING
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom