Dstv exploler

Kilangi masanja

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
4,184
4,538
Helo wadau, habari zenu naomba kujuzwa kuhusu hili, Dstv exploler ni dekoda ya aina gan hasa ina nn cha ziada ambacho niliwapoteza nayo itakua tofauti na dekoda ya kawaida? Kwa anayefahamu kwa kina anieleweshe matumiz yote /vitu vyote unavyoweza kuvifanya ukiwa na set mzima ya dstv exploler.
Pili smart lnb inayotolewa na dstv kwenye dstv exploler ina utofauti gan hasa na lnb ya kawaida kwenye dishi ya dstv
 
Explorer Ina Mambo Kama haya
-uwezo wa kurecord show mbalimbali na kuangalia baadae, mfano Kuna movie unaipenda na inaonyeshwa muda ambao upo kazini unaweza kuset irekodiwe halafu ukirudi nyumbani uangalie.

-ukiwa na internet decoder yako inaweza kwenda online kwenye site ya hao DStv na kudownload contents mbalimbali.
 
Hio paragraphy ya pili nahitaji maelezo zaidi.

Back
Top Bottom