Advanced analytics and artificial intelligence

Advanced analytics and artificial intelligence

Artifact Collector

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2019
Posts
6,620
Reaction score
10,261
Kama kuna mtu anajua au yuko tayari kujifunza na kutumia big data management software kama apache hadoop, kutengeneza artificial intelligence apps kama machine learning models na deep learning models kwa kutumia tensorflow na ajue linux ani pm, awe amesoma computer science au IT sio lazima ajue Bali awe tayari kujifunza awe anakaa dar na itakua vizur kama akiwa ni unemployed karibuni
 
asante sana mtuhumiwa
Usipende kumtuhumu MTU ambaye hajakufanyia baya lolote na usipende kuongea vitu usivyovijua nilichokipost kifuatilie kakisome ndo ujiridhishe kama ni uwizi ndo uje kunituhumu hii itakusaidia sana
 
Back
Top Bottom