Unaingia kweny site ya gsmarena utaona hiyo simu in cpu ganihiyo gsm arena kivipi
nipe website yao
GSMArena.com - mobile phone reviews, news, specs
GSMArena.com - The ultimate resource for GSM handset informationm.gsmarena.com
utatumiaje cpu z ikiwa simu imezima? au ina password?yaani ukitumia GSM arena utapata taarifa za toleo halisi la hiyo simu. Let say umeenda dukani ukakuta simu inaitwa HUAWEI P30, na unataka kujua ina cpu gani kabla hujainunua, sasa ukienda GsmArena utakuta specs za Original Huawei P30,
kama simu ni clone/copy/feki hapo CPU Z ndio msema kweli. Ukitumia gsmarena haitakusaidia
utatumiaje cpu z ikiwa simu imezima? au ina password?
Hongera sana. Najua nini unachotafuta ila naomba pitia hizi link zitakusaidia sana kujjifunza baadhi ya vitu unavyohitaji. Naona unaanza taratibu ila utafika tu. Njia ya kuuliza uliza watu hautafika popote na utapwaya kwenye hii industry ya Tech na utakuwa mweupe kichwani (Ukweli ndiyo huu na utanichukia sana lakini itakusaidia sana ktk maisha yako) kwa sababu kwenye hii tasnia watu hawapendi ujue ili iwe fursa kwao ya kuendelea kupiga pesa. Tumia mitandao ya kijamii kama sehemu ya kujua matatizo ya watu kwenye simu zao kisha chukua hiyo taarifa kisha google utapata maelezo ya kutosha kutoka website, blog na youtube. Hii industry inahitaji mtu anayejiongeza, mwenye kujua lugha ya kiingereza (hata cha kuombea maji) na mwenye kuipenda tech. Hii ya kujua CPU ni rahisi sana kama unakunywa maji ila ni jambo gumu sana kwako kwasababu siyo mtu wa kujiongeza. Kuna msemo unasema GOOGLE IS MY FRIENDmsaada namna ya kujua cpu ya simu bila kutumia cpu z
Hongera sana. Najua nini unachotafuta ila naomba pitia hizi link zitakusaidia sana kujjifunza baadhi ya vitu unavyohitaji. Naona unaanza taratibu ila utafika tu. Njia ya kuuliza uliza watu hautafika popote na utapwaya kwenye hii industry ya Tech na utakuwa mweupe kichwani (Ukweli ndiyo huu na utanichukia sana lakini itakusaidia sana ktk maisha yako) kwa sababu kwenye hii tasnia watu hawapendi ujue ili iwe fursa kwao ya kuendelea kupiga pesa. Tumia mitandao ya kijamii kama sehemu ya kujua matatizo ya watu kwenye simu zao kisha chukua hiyo taarifa kisha google utapata maelezo ya kutosha kutoka website, blog na youtube. Hii industry inahitaji mtu anayejiongeza, mwenye kujua lugha ya kiingereza (hata cha kuombea maji) na mwenye kuipenda tech. Hii ya kujua CPU ni rahisi sana kama unakunywa maji ila ni jambo gumu sana kwako kwasababu siyo mtu wa kujiongeza. Kuna msemo unasema GOOGLE IS MY FRIEND
Jinsi ya kujifunza ufundi simu
![]()
Mambo ya kuzingatia unapojifunza ufundi simu
Watu wengi wanapenda sana kujifunza ufundi simu ila hawajui waanzie wapi. Unaweza kujifunza ufundi simu wewe mwenyewe kwa kusoma Artic...agath64a.blogspot.com
![]()
How to Know Mobile Phone Chipset (Feature phone & Smartphone) MTK, SPD, RDA & QUALCOMM
To know mobile phone CPU and device chipset is not easy if you don't have any tools or knowledge about it. So here are tricks which hel...mundebatech.blogspot.com
![]()
How to Find Feature Phone Boot Key | MTK, SPD, SYMBIAN & RDA
These phone's boot keys used during the flashing, repairing IMEI, and unlocking password or Pin process on your computer via USB Cab...mundebatech.blogspot.com
Anza na ya kwanza ni muhimu sana itakufungulia njia ya kujua maelezo ya link ya 2 na kuendelea. Goodluck![]()
Simple Way To Boot Android Phone Into Recovery Mode - Itel, Tecno, Vodafone, Samsung, Huawei & Meizu
Each android phone has its own boot option key to boot in Android recovery mode. These Boot keys used to hard reset or flash a phone...mundebatech.blogspot.com