Suluhisho la tatizo la ghost touch

Suluhisho la tatizo la ghost touch

Messier 31

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2017
Posts
504
Reaction score
1,352
Habari wana JF,

Nimenunua simu ina miezi minne sasa, sijawahi kuidondosha wala kuigonga kwenye screen, ila chaajabu screen upande wa juu imeanza kujitouch yenyewe, yaani unatouch huku yenyewe inakupeleka kule..
Msaada, je suluhisho linaweza likawa lipi?, nimeshauriwa kubadili touch screen yake ila bado sijajua kama ndio njia sahihi, ushauri wenu unahitajika
 
Simu yako brand gani? Umeinunua wapi?
 
Mambo ya Techno hayo,soon itaanza kujiwasha tochi mchana ukiwa umeiweka mfukoni.
 
Siyo tecno mkuu, Pia ilo tatzo la torch kujiwasha yenyewe nilishawahi kuliexperience kwenye Tecno F2 nikaamua niuze
 
Habari wana JF,

Nimenunua simu ina miezi minne sasa, sijawahi kuidondosha wala kuigonga kwenye screen, ila chaajabu screen upande wa juu imeanza kujitouch yenyewe, yaani unatouch huku yenyewe inakupeleka kule..
Msaada, je suluhisho linaweza likawa lipi?, nimeshauriwa kubadili touch screen yake ila bado sijajua kama ndio njia sahihi, ushauri wenu unahitajika
Umejaribu kubadili protector?
 
protector niliitoa kabisa lakini bado tatzo lipo vilele,

Je kubadili touch screen yake inaweza ikawa suluhisho,? ili nisije nikagharamia halafu ikawahasara

Gharama ya touch ni ndogo unaweza jaribu kuibadili mkuu.
 
Back
Top Bottom