Mambo vipi?
Nimeketi sehemu nimetulia nikaona ngoja niandike post fupi ni-share some interesting news na wana JF kuhusu teknolojia, ujasiriamali na vile mambo yanavyobadilika haraka katika dunia...
Wataalamu wa mtandao, naomba kuuliza kuna app yoyote inayoweza kuhifadhi music yako iliyo kwenye simu,? namaanisha nataka kuuza simu na miziki yangu naitaka nihifadhi ili nikinunua simu mpya na...
Wakuu nashindwa connect mtandao wa internet kwa kutumia hii moderm yangu yaan hii moderm inanishangaza kwa kuwa inasoma laini vizur tu majina message na mtandao unaonyesha kabisa umesoma tatizo...
Forever IPTV language package (3500pcs+ HD&SD live online):
Albanian
Arabic
Africa
Brazil
Bulgaria
Chinese
Czech
Canada
Cyfrowy Polsat
Dutch
French
German
Greek
Hungarian
Italian...
Kuna feature moja mwenye ios ambapo unaweza zuia app yoyote isi access internet. Nimejaribu kwenye android lakini sijapata namna naona kuna stop app from running in the background lakini app kama...
Wanajamvi hamjambo...
Nahitaji kununua simu yenye black background maandishi yanakuwa meupe ninapoandika sms.
Ninayo simu ya aina hiyo lakini haisupport baadhi ya application.
Je ni simu gani...
Habar za wakat huu wakuu
Moja kwa moja najielekeza kwenye mada huska kama inavosomeka hapo juu hivi hawa watu wa halotel na airtel wanawaza nn mpka mda huu hawajaketa 4G wakati dunia now iko...
wanakuletea mwonekano mpya wa simu ambayo camera yake ipo chini ya kioo ....
fungua link kwa maelezo zaidi
[Xiaomi Weekly News #10] Xiaomi Under-display Camera Technology Coming, Mi Band 4 and...
if you know where is it found in Tanzania tell me ,I need it for my work as it has been explained below(kama unafahamu inapopatikana nchini nusisite kunijuza maana ninauhitaji nayo)
Designed...
Habari wana JF, Leo nimekutana na ubishi kidogo kati ya mtanzania wa kawaida na mtanzania anajeua maswala ya teknolojia. Mtanzania wa kawaida alikuwa anasema yeye anachoangalia kwenye simu ni...
Mambo vipi wana tech??
Kuna simu yangu tecno f2 nataka kuiza ila inatumia laini ya voda pekee kweye sim1, naomba maujanja yakuweza kuifanya itumie laini zote.
Asanteni
Wakuu naomben msahada jins ya kutrack simu ...shida so kuipata simu ni kwamba mwizi kaiba simu,pikipiki na pesa taslimu laki 4 ....
Kwaio naomb njinsi ya kufanya nimpate uyo mwizi
Simu...