naombeni link ya Kudownload gta yenye mb kidogo na stolage kidogo then mtufahamishe jinsi ya kulidownload kwa faida ya watu wote hata wale wanaotembelea google kufahamu kujua jinsi ya kushusha gta...
If you want to be a programmer and you don't know which languages to study or to start with, worry out here is the list of the top programming language.
#7. C Programming
C program is a mother...
Nataka kusolve optimization problem ila inagoma kila muda nikaamua kuanza na nyepesi kama hii hapa[emoji116]ila kila muda napata error. NOT ENOUGH INPUT ARGUMENTS. Shida inaweza kuwa gani?
Husika na kichwa cha habari hapo juu kama uwezekano huo upo nina mpango nisisajili laini yangu niwe natumia simu tuu kwenye mambo yangu ya internet bila kuweka laini
Naomba kujuzwa kama hili...
Natumia in ear earphone za sony nahitaji app nzuri zaid ya kuboost bass na stereo kias. Natumia bass booster lakin naamin humu kuna wakongwe zaid wa choices. Vitu vingi vya tech majib huwa napata...
Kwa wale watumiaji wa Barua pepe Kutoka Microsoft yaani hotmail na outlook tunafahamu uwepo wa OneDrive, hii ni online cloud storage kama jinsi ilivyo Google Drive, tofauti yake na google drive ni...
Hello,
Nipo na tatizo amabalo nahitaji solution kwa haraka,
Nahisi ni aina ya Virus ambao sijawafahamu, wao husababisha Apps za aina yoyote of the same Windows bits kuto run/rerun kwenye PC...
Mambo niaje wana, Ni matumaini yangu mnaendelea vizuri.
Vyuma kitaaa vimekaza si mchezo na suluhisho sio kulia lia "oh vyuma vimekaza, tuna degree ila hakuna ajira, hatuna mitaji" and all sorts...
habari wadau
ninatumia laptop but pia huwa ninatumia sana desk top yangu naweza kusema hii desktop ndo yenye vitu vyngu vingi sana vya kiofisi na ndo huwa napenda sana kuitumia.
TATIZO
jana wakati...
NELSON GRAPHIX tunatoa huduma za Graphic design zenye ubora na kiwango cha juu, zifuatazo ni huduma tunazozitoa;
•Poster Design
•Flyer Design
•Business Card
•Logo Design
•Banner Design
•Product...
Wakuu natumia tecno spark 2 . sasa tangu juzi kila anayenipigia anakuta simu ipo busy , yaanj ni kama contacts zote zipo blocked silihali kwenye block list hakuna kitu.
Nimejaribu setting kadhaa...
" THIS APP CAN'T RUN ON YOUR PC.
To find a version for your pc,check with the software publisher.".
Nmetoka kuamka na kuwasha pc nkachomkea flash,defender ikanipa warning ya kuscan nkapuuzia ila...
Habari wanajf, Nina hp probook 340 nikichomeka HDMI inaonesha chenga chenga nikiwa nacheza game pes 17 lakaini nikiangalia movie inaonesha fresh , shida nini ili nisolve tatizo hilii, manake...
Wakuu habari na poleni na majukumu.
Nina PC lenovo inakua inaji restart mara kwa mara,hasa ninapokua nimeingia mtandaoni...inazma ghafla na kisha kuwaka tena na kunpa ujumbe VIDEO IDR FAILURE...
Its always good to use free software over paid ones but the real fun is to use a licensed version of a paid software for free.
The trick here is to actually make use of a promotional...
kwenye ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia suala la Internet limekuwa chachu ya kurahisisha kazi,
sehemu nyingi kwenye maofisi utasikia wanasema mtandao uko chini/internet imekata, hata kwenye...