Kwanza wakuu nitoe shukrani kwa kujali na kusoma thread yangu.Shida niliyonayo ni napingwa Ban nikitumia whsap yoyote ile hasahasa nkifungua group na ku add watu, kazi nayifanya kwenye whatsap inataji niadd watu group Sasa kila siku Ban wakuu nifaneje jaman naombeni suluisho na hii ni huwa Ban kwa Official whatsap au nkitumia izi zingine.
Asanteni Sana watu wangu.
Asanteni Sana watu wangu.