Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,192
- 3,353
It's not that hard kama wengi wanavyodhania, sina muda wa kuweka nyama kwenye post let me get straight on the objective,
1.DOMAIN (elfu 3 tu)
1.Jisajili godaddy
2.tafuta domain inayokupendeza ya .com (mafano www.xxxx.com)
3.doamin hizi mara nyingi ni dola 11...waweza kupata domain kwa dola 1 kwa kesechi google "godaddy domain coupons" ingiza coupon utazopata kwenye sehemu imeandikwa "promo code" kule godaddy.
2.KULINK DOMAIN YAKO NA BLOGSPOT
tazama hapa hatua kwa hatua
3.PREMIUM BLOGSPOT TEMPLATE
nunua premium template...nashauri mtumie sora templates zipo hapa nyingi hazizidi elf 25...zipo hapa ........ONYO:usidownload themes amazo zipo cracked/zimechakachuliwa kama upo serious
2.ukidownload kaiweke kwenye blogspot yako ambayo ume link na domain
3.KUWEKA POSTS
First of all hakikisha post unazoweka sio copy n paste,USIJARIBU!!! post ziwe katika mfumo ambao hazifanani neno kwa neno na post ambazo zipo mtandaoni,,,njia rahisi kukwepa hili ni
-notes za vyuo vya kibongo
-vitabu ambavyo havipo miandaon
-magazeti ya zamani ya kiingereza
- kichwa chako
weka posts zisizopungua 25 ndani ya siku 3 au zaidi....posts hakikisha zipo 25 na kuendelea
5.weka page ya home,contact us, about us na privacy....pia uweke sub category pages za post zako hapa nashauri posts zako zigawanyike makundi matano ili uwe na categories tano ili uziweke menu za category...mfano kuweka kuna category ya football, basket, tennis,wwe, rugby kwenye blog yako ya michezo
6.Ondoa takataka zisizohitajika kwenye template ya blogspot kama archieve, social network buttons, n.k
APPLY FOR ADSENSE