Prince Luanda
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 3,560
- 5,471
Wadau,
Nimekuwa napata kera ya hali ya juu kwenye simu yangu inayosababishwa na google ads yani nikiwasha data tu matangazo yanaanza kutokea.
Kuna banners ads ambayo hutokea kwa juu na kuchukua sehemu ndogo ya screen. kuna mengine yana-occupy screen nzima na huwezi kucancell hadi zipite sekunde yani kama youtube.
Kuna mengine ni ya video hutokea katikati mwa screen hata ukilicancell utaendelea kusikia sauti inaplay hadi tangazo liishe.
Sasa wadau naombeni mnijulishe haya matangazo yanasababishwa na nini?Je, nawezaje kuyaepuka?
Natanguliza shukrani.