sijui namna ya kununua bando za tigo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

sijui namna ya kununua bando za tigo

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by teac kapex, Apr 22, 2012.

 1. teac kapex

  teac kapex JF-Expert Member

  #1
  Apr 22, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 206
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  naomba msaada wa kununua bando za tigo hivi unaandikaje na unatuma kwenda namba ngapi
   
 2. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #2
  Apr 22, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,806
  Likes Received: 7,130
  Trophy Points: 280
  inategemea unataka bundle zipi, zipo za simu na computer

  Za simu
  Zipo alternative mbili
  1) utatuma keywords yako kwenda 15166
  Mfano unataka light
  Utaandika light siku kwenda 15166 utakatwa 450

  Au unataka standard
  Utaandika standard siku kwenda 15166 utakatwa 700

  Vile vile unaweza unga za wiki hapo kwenye siku utabadili iwe wiki kama hivi

  Light wiki kwenda 15166

  2) alternative ya pili kwa simu ni kupiga *148*01# then fata maelekezo

  Kwa computer.
  Bundle za tigo za computer zipo tofauti na simu na zinatumia keyword tofauti

  Hizi za computer ni vizuri kuunga na dashboard yao. Keyword ni kama 'light siku internet' au light week internet zinakua kama za simu ila linaongezeka neno internet

  Kwa maelezo zaidi visit page hii ya tigo

  http://www.tigo.co.tz/internet/packages.php
   
Loading...