Kufaa ama kutofaa kwake inatokana na Bei anayouzia Ila kwa used usispend zaidi ya 250,000 kwenye hio simu. Maana inatumia snapdragon 400 series,Hajataja bei boss.. amesema anauza, sasa nikaona nikimbilie kwanza huku nijue kama inafaa au la. Nipe nondo kuhusu hii simu boss
Ipoje hiyo chief? Yeye anataka 300 ni mpya. Vipi ubora wake kwa matumizi ya kawaida ?
Vipi kwa matumizi ya kawaida.. unaizungumziaje?
RAM na ROM ni sawa na ulivyoandika hapo juu, sasa hili jina sikuwahi kulisikia ndo maana nikaona nije Huku kwa Wataalamu kwanza kabla sijaijutia hela yanguKwa India ikiwa mpya (3GB RAM na 64GB ROM) inauzwa kati ya Tshs. 380,000 hadi 470,000. Utofauti unatokana na msimu, wauzaji na rangi pia. Kuna rangi ni ghali kidogo kuliko nyingine, kuna msimu una offer nyingi so kunakua na punguzo kiaina.
Nilishaona mtu anaitumia,nikaipenda lakin pia Oppo ni nzuri piaRAM na ROM ni sawa na ulivyoandika hapo juu, sasa hili jina sikuwahi kulisikia ndo maana nikaona nije Huku kwa Wataalamu kwanza kabla sijaijutia hela yangu
300k kwa mpya sio mbaya na matumizi ya kawaida itafanya kazi vizuri.Ipoje hiyo chief? Yeye anataka 300 ni mpya. Vipi ubora wake kwa matumizi ya kawaida ?
Vivo, Oppo na oneplus ni dugu mojaNilishaona mtu anaitumia,nikaipenda lakin pia Oppo ni nzuri pia