Nina shida na program ya Virtual DJ

Nina shida na program ya Virtual DJ

Kayoka

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2011
Posts
2,395
Reaction score
2,228
Habarini wakuu!

Naomba msaada wenu wa program tajwa hapo juu (VIRTUAL DJ) mniwekee hapa ili nami niweze kuipakua kwani nilikuwa nayo zamani kidogo kwa PC yangu lakini ilijifuta kwa bahati mbaya.

Nimejaribu kudownload mtandaoni mara kadhaa ila napata shida kidogo.
 
Back
Top Bottom