Kuondoa icloud lock

Kuondoa icloud lock

Echolima

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2007
Posts
3,824
Reaction score
2,079
Nimeuziwa IPad ambayo niliaminishwa kuwa ni mpya lakini baada ya kuichukua nikagundua ina ICLOUD LOCK,Naomba msaada wenu wadau Niko tayari kwa atakaweza kunisaidia.
 
Naona sioni mwenye suluhisho maana kila mmoja anasema kivyake Mara Mimi nimeiba hivyo nimrudishie mwenyewe Mara niwape watoto wachezee na maneno mengi yasiyo na staha.Mimi nilitaka kujua kama kuna mtu anaweza kuitoa au haiwezekani cha ajabu nimejibiwa na watu wasiojua kama inatoka au haiwezi kutolewa na kwa nini inatoka na kwa nini Haitoki.
 
kama ina Run iOS kuanzia 9 na Kuendelea Ni Impossible kutoa icloud uza Spaire kama kioo nk!
 
Naona sioni mwenye suluhisho maana kila mmoja anasema kivyake Mara Mimi nimeiba hivyo nimrudishie mwenyewe Mara niwape watoto wachezee na maneno mengi yasiyo na staha.Mimi nilitaka kujua kama kuna mtu anaweza kuitoa au haiwezekani cha ajabu nimejibiwa na watu wasiojua kama inatoka au haiwezi kutolewa na kwa nini inatoka na kwa nini Haitoki.
Wew umesema umeuziwa ipad yenye icloud ukiaminishwa mpya maana yake kuna dalili umepigwa, mtafute aliekuuzia mwambie akupe password bila hivyo hutoweza kutumia kwa matumizi ya kupiga simu kama ulivotegemea sanasana utakuwa hatarini tu kama simu iliibwa sehemu!!

Kuhusu ku unlock hizo device inategemea na iOS version maana hizi latest bado hakuna ufundi wa ku unlock permanently, ila hizo za zamani wapo wanaoweza kuzi unlock.

NB: Mtafute aliekuuzia akupe details za hiyo simu usijeingia kwenye matatizo!!!
 
Kuitoa inategemea na version ya ipad yenyewe kama ni ya zamani inaweza toka hasa kama ni 32bits ipad lakini kama ni hizi latest labda ubadiri circuit otherwise kama haijawa updated iko below ios 10 unaweza kubypass.

Hayo ndiyo maneno!!
 
Wew umesema umeuziwa ipad yenye icloud ukiaminishwa mpya maana yake kuna dalili umepigwa, mtafute aliekuuzia mwambie akupe password bila hivyo hutoweza kutumia kwa matumizi ya kupiga simu kama ulivotegemea sanasana utakuwa hatarini tu kama simu iliibwa sehemu!!

Kuhusu ku unlock hizo device inategemea na iOS version maana hizi latest bado hakuna ufundi wa ku unlock permanently, ila hizo za zamani wapo wanaoweza kuzi unlock.

NB: Mtafute aliekuuzia akupe details za hiyo simu usijeingia kwenye matatizo!!!
Aliiwekeza kwangu kachukua pesa akidai ana mgonjwa baada ya kumpa pesa jamaa alipotea na kuniambia nichukue tu hiyo Ipad maana hawezi kurudisha hiyo pesa.Naye hana password hivyo nilipigwa kwa aina hiyo!!
 
Password hawezi akasema hana wakati yeye ndio alikuwa anaitumia, labda nayeye alikuwa anaitumia kupigia picha, kwa sababu mlikuwa mnadaiana possibly atakuwa amekunyima tu ili iwe kwako kama kopo!
 
Uwezekano mkubwa Naye aliipiga sehemu akaona aniingize mjini Mimi!!
 
Aliiwekeza kwangu kachukua pesa akidai ana mgonjwa baada ya kumpa pesa jamaa alipotea na kuniambia nichukue tu hiyo Ipad maana hawezi kurudisha hiyo pesa.Naye hana password hivyo nilipigwa kwa aina hiyo!!
Yaan uchukue kitu kama dhamana bila kujiridhisha utendaji wake kazi? Hapa hujapigwa wala nini wewe irudishe ulikoitoa
 
Back
Top Bottom