Dr Orb
Member
- Aug 4, 2019
- 10
- 40
Uzi huu unaletwa kwenu na
Orb Tech LLC.
Ni muendelezo wa uzi huu Muongozo wa software developer anaeanza part-1
Baada ya kujifunza ujuzi wa jumla wa kompyuta na uko confortable juu ya kifaa chako ulichochagua kukifanyia kazi, tuchape mwendo.
Jambo la pili la kujiuliza ni kwamba unataka software yako(application yako ifanye kazi katika misingi ipi). yaani ifanye kazi kwa njia ya internet au isitumie internet? kama software developer hapa huna chaguzi kwa kuwa kama utafanya ujuzi huu kama ajira watakuja wateja na mapendekezo yote mawili kwa hivyo ni bora ukafahamu vyote viwili.
WEB BASED APPLICATIONS.
Hizi hutumia internet kama njia kuu ya mawasiliano na kukamilisha shughuli mbalimbali, application hizi hutumia seti yake ya tekinolojia ambayo inatofauti kidogo na zile ambazo hazitumii interneti. Na unaweza tengeneza application maalumu kwa ajili ya kifaa fulani mfano simu au ukatengeneza application ambayo itatumika na kifaa chochote bila kujali mfumo wa kifaa kwa maana ya aina ya system software iliyounda kifaa husika yaani cross platform applications. Ikiwa utavutiwa na web based apps unapaswa kujifunza mambo yafuatayo
Hizi ni application ambazo hazitumii internet katika mawasiliano. yaani huweza kufanya kazi bila mtandao mfano calculator, Ms Office n.k. lakini pia zinaweza kuunganishwa na internet kwa baadhi ya majukumu, tofauti ni kwamba utendaji kazi wao hautegemei internet. Aplication hizi ni specific katika utengenezwaji na uendeshwaji kwa kuwa utendaji wake unategemea na system software ya kifaa. Hapa kuna tofauti kubwa sana ya wataalamu hawa kwa kuwa wataalamu wengi hujikita na vifaa vyenye kutumia system software ya aina moja mfano Mac OS. software zinazotumiwa na System software ya mac OS haziwezi kuingiliana na zile zinazotumiwa na Windows OS, lINUX OS au Android OS. Hapa kuna exceptional kwa baadhi ya apps zinazotengenezwa na language fulani. Mfano JAVA app based zinaweza kutumiwa na system OS zote bila mabadiliko makubwa ya kimuonekano ya lugha ingawa ni kwa utaratibu maalumu.
Je, tayari umechagua kundi? ok fanya hivyo baada ya hapo tutadadafua kila kundi hapo juu na kwa namna gani unaweza anza carrier yako.
Bonyeza hapa kuendelea sehemu ya 3.
Stay tuned.

- Ujuzi wa jumla wa internet kama vile jinsi ya kujiunganisha na internet, Protocol za mawasiliano katika internet, ujue nini maana ya website, blog, domain name, Url, ujue wapi rasilimali za mitandao huifadhiwa(databases concepts).
- Ujifunze vitu gani vinaweza kukusaidia kuwasiliana katika internet mfano ujifunza kwa ufupi nini maana ya Browsers na zinafanyaje kazi.
- Kupakua mambo mbalimbali kutoka mtandaoni.
- Jifunze kuhusu anwani za mtandao IP adreses concepts.