Kupata simu iliyopotea

Kupata simu iliyopotea

presider

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2013
Posts
1,493
Reaction score
2,017
Habar wakuu...? Nnaweza kupata/kujua Location ya Simu iliyoibiwa kwa KUTUMIA EMEI number
 
Jaribu hio
Simu hizo huwa moja wapo kati ya hizi:

TECNO , SAMSUNG SONY, na nyingine nying

za aina hizi.

Kama simu yako iliyopotea ni android usiwe n

wasiwasi. Hebu tufuatilie njia zifuatazo

zinazoelezea kwa kina namna gani ya kuwez

kuipata simu yako.

>> Kwa kutumia ANDROID DEVICE MANAGE

(ADM) .

° Je, unatumia Google Play Store. Jibu lako bil

shaka ni ndio na kama sio basi hakikisha

umejiunga na Play Store. Kwa nini nimeanza

hili ni kwa sababu ili kujiunga na Play Store

lazima uwe na akaunti ya Gmail. Kwa nini G

kwa sababu hii ndiyo njia pekee

itakayokuwezesha kutambua pahala simu yak

ilipo. Android Device Manager ni programu ya

google inayopatikana karibu katika kila

smartphone ya android. Usijiulize maswali m

na hata kama haujawahi kuiona usiwaze, hii

hufanya kazi ndani ya smartphone yako. Jari

kuisachi kama usipoipata unaweza kidownloa

kupitia Play Store

Programu hii itatusaidiaje?

·Ni rahisi sana. Kama umetimiza

yote hapo juu, punde tu unapogundua

simu yako imepotea tafuta laptop/

computer au simu ya android

nyingine yoyote. Sign-in katika gmail

kupitia kifaa hicho. Ukisha Sign-In

tembelea tovuti ya ADM . Au

search tu google 'Android Device

Manager' na chagua tovuti yao

· Tovuti hiyo ikishafunguka utaweza

kuchagua kifaa chako (Smartphone/

Tablet) ambayo imeshajisajili kupitia

e-mail yako ya gmail.

· Baada ya kuchagua Google

itakuonesha ramani ya wapi simu

hiyo ilipo. Baada ya hapo unaweza

kuchagua kitufe cha ring. Hata kama

aliyeiiba ameshabadili line simu hiyo

itaita kwa muda wa dakika kama

tano.

· Zaidi pia ni jinsi ya kulock simu

yako kupitia huduma hii hii ya ADM.

Utaweza kufanya hivyo kwa kuchagua

kitufe cha Lock. Kumbuka kitufe hiki

kifanya kazi endapo ulifanya settings

za kuruhusu ADM kulock na kufuta

simu. Faida moja wapo pia ya

kutumia option hii ya Lock ni kwamba

unaweza kuandika ujumbe ambao

yeyote mwenye simu hiyo kwa wakati

huo ataiona.

· Pia unaweza kufuta data zote

zilizopo katika simu yako hiyo kama

unahisi imeibwa au imepotea kabisa

kwa kubonyeza kitufe cha Erase.

Njia hii huweza kufanya kazi endapo tu,

umeshajiunga na gmail, na pia simu iwe

imeunganishwa na internet. Hii ndiyo njia bor

kwa mujibu wangu. Usipofanikiwa mara ya

kwanza endelea kujaribu usikate tamaa, kam

mwizi ameiba smartphone lazima nyakati fula

ataingia tu katika mtandao. Akiingia tu basi

kajichanganya. Ni vyema utoe taarifa polisi ni

wajibu wao kuhakikisha usalama wako na ma

zako.
 
Hii njia ni ya wezi wa kizamani,

Mwizi saiz aibe simu aanze kutumia na internet kabisa?
Pili Kama location haukuweka on basi hiyo njia haiwezi ona simu ilipo
Mwizi anaiba simu saiz,anatoa lain,ana restore maisha mampya anauza simu..akikuta FRP anatoa kwa fundi wake
 
Back
Top Bottom