Msaada: Nitajuaje kama hii Samsang ni copy?

mikumiyetu

JF-Expert Member
Aug 16, 2016
1,311
944
Habari zenu,naomba kufahamu jinsi ya kujua simu kama ni copy kwa kampuni ya samsung,maana kuna mtt anataka kuniuzia samsung j7 prime ni mpya kabisa sasa bei yake namashaka nayo isije ikawa copy
 
mkuu ingiza *#0*# kuna menu itatokea.. hakikisha ukibonyeza kwenye button husika itokee kama iliandikwa mfano kama imeandika blue basi itokee blue..!
 

Attachments

  • Screenshot_2017-03-30-15-20-21.png
    Screenshot_2017-03-30-15-20-21.png
    35.7 KB · Views: 33
  • Screenshot_2017-03-30-15-20-30.png
    Screenshot_2017-03-30-15-20-30.png
    2.8 KB · Views: 33
Kuna njia nyingi sana za kuthibitisha uhalali au uhalisia (originality or genuinity) WA simu ya Samsung, KWA kutumia Security Codes, SMS, IMEI or Serial number check up, physical appearance ya simu yenyewe, n.k, n.k, n.k.
 
Back
Top Bottom