Ujuzi kuhusu simu janja(smartphone)

Ujuzi kuhusu simu janja(smartphone)

crusader_jr

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2019
Posts
994
Reaction score
867
Habarini wana JF, naomba kuwasikisha swali kuhusu simu janja kwanini smartphone(s) baadhi zinasapot OTG cable na ina maana gani na kwa nini simu nyingine inagoma na,
Je OTG cable ni nini na je simu kusoma OTG cable inamaanisha ukubwa wa simu au na swali la mwisho
Unaweza jua vipi simujanja original
Nawasilisha
@crusader_"ready when called"
 
Simu kukubali otg ama kukataa ni hardware level, mtengeneza simu anaamua kuweka hio feature ama kutoweka.

Usb OTG kirefu USB on the go ni uwezo wa kutumia port yako ya usb kama vile unavyotumia computer, utaweza kuchomeka mouse, keyboard, kuchaji simu nyengine, kuchomeka gamepad etc simu isiyo na Otg kazi ya ile port yake inakuwa ni kuchajia tu.

Kujua simu original ama fake njia nzuri zaidi ni kununua kitu kwenye duka linaloeleweka na upewe warranty ya manufacture na sio warranty ya duka then utumie feature ya simu husika tu kuhakiki, mfano kuna themes za samsung tu ambazo huwezi eka simu nyengine kama samsung feki, iphone zina itune ambayo ipo kwenye simu zao tu, kuna vitu specific kwenye miui, Emui, oxygen etc.

Njia nyengine ni kutumia app zinazokuambia hardware gani ipo kwenye simu kama vile cpu Z then compare specs za cpu z na specs official za simu.
 
Mkuu naomba unisaidie eti Ipi iko vizuri kati ya Redmi Mi 9T (MIUI) Na Mi A3 (ANDROID ONE)

Mkuu shukrani nimepata somo
 
9T ni nzuri mkuu, na kama una uwezi wa ku afford 9T pro ni bora zaidi maana yenyewe ipo level nyengine kabisa.
Mkuu naomba nisaidie, nimeona simu alliexpress inauzwa laki mbili na nusu. Simu ni Umidigi A5. Je Kwa specifications zake bei ni sawa? Hapa tz inafanya kazi au tcra hawazitambui? Kuna simu gan kali zaidi ya hii Ila ina bei sawa na hii.

9999+

Global Version UMIDIGI A5 PRO Android 9.0 Octa Core 6.3' FHD+ Waterdrop 16MP Triple Camera 4150mAh 4GB RAM 4G Celular Smartphone

HTB1029hXHr1gK0jSZR0q6zP8XXaG.jpg_640x640q90.jpeg
 
Specifications zake full ndo hz

Brand

UMIDIGI

Model

A5 Pro

Color

Breathing Crystal/Space Grey

Material

Dual 2.5D glass & metal frame

Operating system

Android 9.0

Touch ID

Rear Fingerprint Scanner

CPU

MTK, Helio P23, 4xCortex-A53, 2.0GHz & 4xCortex-A53, 1.5GHz

GPU

ARM Mali G71 MP2 700MHz

RAM

4GB

ROM

32GB

Battery

4150mAh

Quick Charge

10W, 5V2A

Wireless Charge

No

Dispaly

Display Size

6.3" (measured diagonally)

Aspect Ratio

19 : 9

Type

Waterdrop display

Touch

Capacitive multi-touch

Resolution

FHD+ 2280*1080

PPI

400

Screen-to-body ratio

92.70%

Camera

Rear Camera

16MP + 8MP + 5MP triple camera

16MP primary camera, Sony IMX398/S5K2P7, F/1.8, 6P lens

8MP ultra wide angle camera, S5K4H7, 120° wide-angle

5MP depth camera

Support: PDAF, Dual LED flash, Face recognition

Front camera

16MP front camera

S5K3P3, F/2.0 aperture, 5P lens

Support: Face recognition, Selfie countdown

Connection

BandGSM 2 /3 /5 /8WCDMA 1 /2 /4 /5 /6 /8 /194G: TDD-LTE 38 /40 /41

4G: FDD-LTE 1 /2 /3 /4 /5 /7 /8 /12 /13 /17 /18 /19 /20 /26 /28A /28B/66

SIM/TF Card

2 + 1

Dual SIM slot + Dedicate slot for Expanded Memory

Support Nano-SIM card and microSD expansion memory card

WIFI

IEEE802.11 a/b/g/n

Bluetooth

Bluetooth 4.2, Bluetooth HID

Positioning

GPS, Glonass,  BeiDou

NFC

No

Sensor

Proximity Sensor, Ambient Light Sensor, Accelerometer , Gyroscope, Electronic Compass

Support format

Audio File Format

PCM, AAC / AAC + / eAAC +, MP3, AMR - NB and WB, APE, WAV

Video File Format

Supports H.264 (Baseline / Main / High profile), MPEG4 (Simple profile / ASP) and other video

formats

FM Radio

Yes

Earphone Port

3.5mm Audio Jack

Card Extend

Supports expandable storage up to 256GB (VFAT format)

USB

Micro USB

OTG

YES

Other Features

Notification LED

No

Dimensions

156*75.9*8.2 mm

Net Weight

203g

Certification

FCC/CE/MSDS/UN38.3

Language

Language

English, Bahasa Indonesia, Bahasa Melayu, Cestina, Dansk, Deutsch,

Espanol, Filipino, French, Hrvatski, latviesu,lietuviu,Italiano, Magyar,

Nederlands, Norsk, Polish, Portuguese, Romana, Slovencina, Suomi,

Svenska, Tieng viet, Turkish, Greek, Bulgarian, Russian, Ukrainian,

Hebrew, Arabic, Thai, Khmer, Korean, Simplified/Traditional Chinese

In the box

1x Phone

1x Screen Protector (pre-applied)

1x Phone Case

1x Micro USB Cable

1x Power Adapter

1x SIM Tray Ejector

1x Quick Start Guid
 
Mkuu naomba nisaidie, nimeona simu alliexpress inauzwa laki mbili na nusu. Simu ni Umidigi A5. Je Kwa specifications zake bei ni sawa? Hapa tz inafanya kazi au tcra hawazitambui? Kuna simu gan kali zaidi ya hii Ila ina bei sawa na hii.

9999+

Global Version UMIDIGI A5 PRO Android 9.0 Octa Core 6.3' FHD+ Waterdrop 16MP Triple Camera 4150mAh 4GB RAM 4G Celular Smartphone

View attachment 1232537
Hizo band zinafanya kazi viZuri tu, na hio bei ni fair kwa hizo specs. Galaxy A10 ina processor yenye nguvu zaidi japo ram na storage zake zinapitwa na hii simu.

Kuwa tu makini sometime wanaandika simu yenye specs kubwa ila unakuja kuuziwa base version kwa hio bei na ukitaka yenye hizo specs bei inaongezeka
 
Da! ndo nilikuwa najiandaa kulipia ila umenitishia hapa mkuu! halafu unakuta hii simu Amazoni ni 130$ na Aliexpress ni 97$ hapa kuna uwalakini!
 
Chief...Redmi Note 8 inasupport bands za apa Tz? Kuanzia town mpk nje?

Back
Top Bottom