Msaada: Nitajuaje kama kuna mtu anasoma meseji zangu za whatsapp?

habari zenu! naombeni munielekeze namna yakujinasua endapo kuna mtu amenifanyia kuona texts zangu wasap charts n.k pls...
na je nitajuaje km nimefanyiwa?
asanteni

Umehisi nini kwani...?. Kwa nini umehisi hivyo...?

Shukran.
 
habari zenu! naombeni munielekeze namna yakujinasua endapo kuna mtu amenifanyia kuona texts zangu wasap charts n.k pls...
na je nitajuaje km nimefanyiwa?
asanteni
Kwanza kabisa kagua list ya Applications zilizopo kwenye simu yako, kama kuna Application(s) ambazo huzielewi au haujawahi kuzitumia ziondoe kwenye simu yako (unistall).
Pili nenda kwenye Settings alafu security and then tafuta sehemu iliyoandikwa Device Administrators uncheck application(s) yeyote ambayo itakua na green dot.
Tatu ingia kwenye Google account yako badilisha passwords zako,

Hii ni kwa Android OS
 
We kinachokuogofya ni nini? Utakuwa mnafiki wa mapenzi bila shaka! Kuwa mkweli...Ishi katika kauli zako wala huna haja ya kuwaza kama mtu amekuspy!
 
We kinachokuogofya ni nini? Utakuwa mnafiki wa mapenzi bila shaka! Kuwa mkweli...Ishi katika kauli zako wala huna haja ya kuwaza kama mtu amekuspy!
Mkuu mbona wewe unawaza mambo ya mapenzi tu? Unajuaje kama jamaa ana issue nyingine zaidi ya mapenzi? Nchi hii imejaa makandokando mengi sana...kila siku watu huuawawa kule Mabwepande na "watu wasiojulikana" na hakuna hatua inayochukuliwa. Kumbuka kisa cha Dr Ulimboka, kuelea kwa miili mtoni na "kupotea" kwa Ben wa Saanane. Mambo kama haya ndiyo yanawatisha watanzania zaidi ya mapenzi. Nadhani umenipata.
 
Habari zenu! Naombeni munielekeze namna ya kujinasua endapo kuna mtu amenifanyia kuona texts zangu whatssap charts n.k pls...
Na je nitajuaje kama nimefanyiwa?

Asanteni
Jaribu kuinstall app ya Norton mobile security kwenye simu yako hiyo itaonyesha app zote znazotoa taarifa zako na pia kuweza kukupa warning pale unapotembelea websites zenye viruses na malware
usisahau kutoa feedback
 
Kwanza kabisa kagua list ya Applications zilizopo kwenye simu yako, kama kuna Application(s) ambazo huzielewi au haujawahi kuzitumia ziondoe kwenye simu yako (unistall).
Pili nenda kwenye Settings alafu security and then tafuta sehemu iliyoandikwa Device Administrators uncheck application(s) yeyote ambayo itakua na green dot.
Tatu ingia kwenye Google account yako badilisha passwords zako,

Hii ni kwa Android OS
Siku hizi watu wanakuhack kwa kutumia Web whatsapp au desktop whatsapp
 
Siku hizi watu wanakuhack kwa kutumia Web whatsapp au desktop whatsapp
Yeah, kama uliwahi kumpa simu yako physically aka-scan authentication QR code. Kutatua issue kama hii ni kuondoa Whatsapp iliyopo na kudownload nyingine
 
hakuna mtu anaweza soma sms zako whatsApp unless umempa azisome wewe mwenyewe kwasababu whasApp inatumia end to end encryption
 
Hakuna anayeweza kusoma txt zako za WhatsApp nikimaanisha ata hao TCRA awawezi kusoma txt zako za WhatsApp.. ingia WhatsApp nenda settings afu nenda kwenye security soma maelekezo na tap on means a third person awezi soma txt yako.. now WhatsApp ipo katika mfumo wa Instagram kwa upande wa security. Asante
 
Uwongo, text message zozote za Kwenye simu yako zinaweza kusomwa NA third party person. Teknolojia imekuwa sana sasa hivi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom